27 Novemba, 2025

Mwanamke Mjerumani afungwa jela DRC kwa wizi wa benki

Honorine Porsche kwanza alikiri kuchukuwa pesa lakini baadaye akadai kuwa aliibiwa na maafisa wa usalama walioingia kwenye benki hiyo.

869f61581243f3558d389a0c661e8e9400de016bae754f2d36e0ae5f43e68ce2

27 Novemba, 2025

Trump aipiga marufuku Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20 Miami 2026

Trump ametaja madai “mauaji ya halaiki” dhidi ya wakulima wazungu nchini Afrika Kusini na kukataa kuwapokeza rasmi urais wa G20 kama sababu za kuizuia nchi hiyo kuhudhuria mkutano wa mwakani.

38b5d146e9390feb54e006e432ae0814709b05b0388fae6207c5031d87c28403

26 Novemba, 2025

Rais wa Nigeria atangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri

Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu.

683a82403c464959c6b252987212fe83cfee1480fb5355d3eccde9858e8d43a1

26 Novemba, 2025

Kiongozi wa jeshi la Sudan atoa wito kwa Trump asaidie kusitisha vita nchini humo

Kamanda wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ambaye anapigana dhidi ya kikosi hasimu cha wapiganaji wa RSF tangu Aprili 2023, amemwomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kusaidia kuleta amani.

2025 05 31t164331z 517999672 rc24tea7t9k6 rtrmadp 3 sudan politics primeminister

26 Novemba, 2025

Jeshi lasitisha mchakato wa uchaguzi nchini Guinea-Bissau, latangaza kuchukua udhibiti

Maafisa wa jeshi wanaojiita “Uongozi wa Juu wa Kijeshi kwa Marejesho ya Utulivu” wamesitisha uchaguzi, vipindi vya vyombo vya habari, huku wakilitaka taifa “liwe na utulivu,” kwa mujibu wa chombo cha habari cha serikali.

b68714857c5bd422cc926a868a4e9ab37cff4332815464383ed1d9cb5723e1ad main

26 Novemba, 2025

Hatimaye mlipuko wa volkano ya Hayli Gubbi ya Ethiopia wapungua

Huu ni mlipuko wa kwanza uliorekodiwa wa Hayli Gubbi katika miaka 10,000 iliyopita,” aliambia, na Inawezekana itaendelea kwa muda mfupi na kisha itasimama hadi mzunguko unaofuata.

9ee701f8797de9b4d6127d9cf7e143289123fda28d478e52931716d2630bb9dd

26 Novemba, 2025

Jeshi la Sudan linasema kuwa limezuia mashambulizi ya RSF kwenye mji muhimu

Jeshi la Sudan lilisema siku ya Jumanne kuwa limezuia mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye mji wa kimkakati wa Kordofan kusini, siku moja baada ya RSF kutangaza kusitisha mapigano kwa muda wa miezi mitatu kwa upande mmoja.

26caaa31e3b7309c81a55b3b85de57e2f14e3e7f08ce958314ff4f62b1335bc3 main

26 Novemba, 2025

Kampuni ya mafuta ya serikali ya Uganda yagundua hifadhi mpya ‘muhimu’

Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) inayomilikiwa na serikali imetambua visima tisa vya mafuta katika mtaa wa Kasuruban na “akiba mpya ya mafuta ghafi”, ilisema Jumanne.

2025 11 24t023008z 1 lynxmpelan02p rtroptp 3 usa oil permian main

25 Novemba, 2025

Wasichana wa shule waliotekwa Nigeria wameachiwa huru

Wasichana 24 waliotekwa katika shule kaskazini-magharibi mwa Nigeria wiki iliyopita wameachiwa huru, msemaji wa gavana wa jimbo la Kebbi alisema siku ya Jumanne.

380f676a0a49d88a00f529d6ef5b11f8385374e872a445160c95761b6bfc3b32 main

25 Novemba, 2025

Watu 10 zaidi watekwa nyara Nigeria

Watekaji nyara wamewateka wanawake na watoto 10 katika tukio jipya la utekaji nyara nchini Nigeria, polisi wamesema siku ya Jumanne.

fe0efa58585fc9ee6826de4662f58d76abebcf0ff972cebeaffd28d1e558dac9
Inapakia...