24 Novemba, 2025

Taasisi ya Thabo Mbeki yakosoa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Taarifa hiyo inakuja siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuzindua tume itakayochunguza vurugu zilizotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, huku akiipa tume hiyo siku 90 za kufanya uchunguzi huo.

1a4408c972d621745c4146b3b57fa21283c1d3c721d8a6ae0ef962fc2b62f4b3

24 Novemba, 2025

Gavi, Unicef ​​watia saini mkataba wa kupunguza bei ya chanjo ya malaria

Gavi inakadiria kushuka kwa bei hiyo kutaokoa dola milioni 90, ambazo zinaweza kufadhili dozi milioni 30 zaidi kwa hadi watoto milioni 7 zaidi katika miaka mitano ijayo.

f3185d750a2b30d21bfe19e6ab3b9cb4131ffca016bb2c0103e26139baff7788

24 Novemba, 2025

Rais wa Nigeria amesema waumini 38 waliotekwa nyara kanisani Nigeria wameokolewa

Rais wa Nigeria Bola Tinubu alisema Jumapili kwamba waumini 38 waliotekwa wakati watu wenye silaha walipovamia ibada ya kanisa wiki jana na kuua watu wawili, wameokolewa.

ea471fad433581ad660df29522ea39c0fe8b925ce87f92d5987eab567f90299b

23 Novemba, 2025

Mkutano wa kilele wa G20 ‘wamalizika vyema’ licha ya kukosekana Marekani baada ya Trump kususia

Rais Trump, ambaye anataraiwa kupkea uenyekiti wa G20 kwa mwaka ujao, alisusia kuhudhuria kwa madai kuwa Afrika Kusini inawadhulumu Wazungu wa Afrikaanm jambo ambalo Afrika Kusini imekana

36096e700e37b1f780039c0d6f9da6702e3aea3dad1d83fad9e40c9e2d77a86f

23 Novemba, 2025

Afrika kulipa ‘gharama kubwa’ licha ya uhusika mdogo kusababisha mabadiliko ya tabianchi: UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anasema kuwa Afrika italipa “gharama kubwa ” kwa mabadiliko ya tabianchi licha ya kuwa imefanya “kidogo sana” kuyasababisha.

south africa g20 20251 main

23 Novemba, 2025

Tanzania yashutumu vyombo vya habari vya kigeni kwa ‘kuichafua na kuhujumu uchumi wa nchi’

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Michezo Sanaa na Utamaduni Gerson Msigwa amekemea taarifa zilizochapishwa na vyombo vya habari vya nje kuwa ziliendeshwa na nia mbaya ya kuichafua nchi.

bfc72b3939233db6389d82910744cc8954f478550f98d5a7bf3462a5f80b7663

23 Novemba, 2025

DRC yawaweka jenerali wa jeshi kifungo cha nyumbani kwa ‘kudhoofisha usalama wa nchi’

Msemaji wa jeshi anasema kifungo cha nyumbani kwa washukiwa hao kiliongezwa kwa ombi la upande wa mashtaka huku uchunguzi ukiendelea.

8efb9ac17fd6f8a453f9f172e97d96482b8dcf197a8f4c5269f921c4620c6e6a

23 Novemba, 2025

Azimio la mkutano wa G20 limepitishwa: Msemaji wa rais wa Afrika Kusini

Tamko la mkutano huo lilihamishwa kwa mpangilio wa kwanza wa siku, ambao kawaida hupitishwa mwishoni.

4bd8febe029809336bb726c802ac945c6f64f061ae8ec26e043ab0adb86dc448

22 Novemba, 2025

Vita vya Sudan: Zaidi ya watoto 20 wanakufa kwa utapiamlo katika mwezi mmoja

Vifo vya watoto hao katika miji chini ya kizuizi ambacho “huzuia kuingia kwa chakula na dawa na kuweka maisha ya maelfu ya raia hatarini.”

sudan voices of war 36731

22 Novemba, 2025

Mkutano wa viongozi wa G20 unaanza nchini Afrika Kusini

Viongozi wa dunia wakutana kwa siku mbili za mazungumzo katika mkutano wa kwanza wa kilele wa G20 uliofanyika barani Afrika, chini ya mada ya “mshikamano, usawa na uendelevu”.

2025 11 22t090848z 1196325001 rc2k1iadphq1 rtrmadp 3 g20 summit opening
Inapakia...