Kikundi cha M23 chafurahia Joseph Kabila kurejea nchini DRC

Kabila, mwenye umri wa miaka 53, alikuwa kiongozi wa DRC kutoka mwaka 2001 hadi 2019, aliporithiwa na Tshisekedi.
26 Mei, 2025
Mashirika binafsi ya matibabu Rwanda yataka mfumo wa ushuru kurekebishwa

Mashirika binafsi ya matibabu nchini Rwanda yanasema kutobadilishwa kwa ushuru tangu 2017 ni chnagamoto kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la gharama za uendeshaji, ikiwa ni pamoja na mishahara kwa wafanyakazi wa sekta ya afya na bidhaa.
26 Mei, 2025
Serikali ya Kenya kuuza zaidi hisa zake Safaricom, waziri wa fedha amesema

Serikali ya Kenya inapanga kuuza hisa zaidi katika kampuni kubwa ya mawasiliano nchini humo Safaricom, Waziri wa Fedha John Mbadi alinukuliwa na gazeti moja nchini humo siku ya Jumatatu.
26 Mei, 2025
Uganda yasitisha ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani

Uganda “imesimamisha” ushirikiano wote wa kijeshi na Ujerumani, huku jeshi likisema kuwa balozi wa Ujerumani mjini Kampala “anajishughulisha na vitendo vya uasi” katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
26 Mei, 2025

Ethiopia yathibitisha visa vya kwanza vya ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga na mama

DRC yalenga makubaliano ya madini ya Marekani kufikia mwisho wa Juni

Siku ya Afrika: Mwenyekiti wa Tume ya AU atoa wito nchi zote za Afrika kujiinua ili kuinua Afrika

Uturuki, Somalia wakubali kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na taarifa potofu

Lissu ateuliwa katika uongozi wa Muungano wa Kimataifa wa Demokrasia – IDU
24 Mei, 2025
Kiongozi wa zamani wa DRC akashifu mfumo wa haki baada ya kuondolewa kwa kinga ya kushtakiwa
Rais huyo wa zamani anasema mfumo wa haki unatumiwa waziwazi kwa malengo ya kisiasa katika nchi ambayo anasakwa kwa madai ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.

24 Mei, 2025
Mwanaharakati wa Uganda apatikana ametupwa mpakani baada ya kukamatwa nchini Tanzania
Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire alikwenda Tanzania kuonyesha mshikamano na kiongozi wa upinzani Tundu Lissu katika kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini Jumatatu.

23 Mei, 2025
Washukiwa watatu wa wizi kutoka Uganda wakamatwa Kenya
Kitengo cha makosa ya jinai nchini Kenya kimesema uchunguzi umebaini kuwa watatu hao kutoka Uganda waliwasili nchini Kenya tarehe Mei 21, 2025 kupitia mpaka wa Malaba.

23 Mei, 2025
Karibu wachimba migodi 300 wakwama Afrika Kusini
Msemaji anasema wafanyakazi wote wako salama na wanajulikana waliko na kwamba wako katika mchakato wa kuwafikishia chakula.

23 Mei, 2025
Uganda kufunga baadhi ya balozi zake
Kulingana na ripoti yake ni balozi 10 tu kati ya 38 zilizokaguliwa na kupokea ufadhili kutoka kwa serikali katika mwaka 2024.

23 Mei, 2025
Marekani kuiwekea vikwazo Sudan kwa madai ya kutumia silaha za kemikali
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inasema kuwa itaiwekea vikwazo serikali ya Sudan kwa madai ya kutumia silaha za kemikali katika vita vyao na wapiganaji wa RSF.

23 Mei, 2025
Tanzania yamuachilia Agather, mwanaharakati wa Uganda
Agather Atuhaire alikamatwa pamoja na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi walipokuwa wameenda nchini humo kushuhudia kesi ya mwanasiasa wa upinzani Tanzania, Tundu lissu.

23 Mei, 2025
DRC yamuondolea kinga rais mstaafu Joseph Kabila
Joseph Kabila ambaye aliiongoza DRC kuanzia 2001 hadi 2019, sasa anakabiliwa na uwezekano wa kufikishwa katika mahakama za kijeshi kwa tuhuma za “uhaini, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya binadamu na kushiriki katika harakati za uasi.”

22 Mei, 2025
Ubalozi wa Uganda nchini Tanzania wafanya jitihada za kumtafuta mwanaharakati Agather Atuhaire
Agather, ni kati ya wanaharakati wanaodaiwa kukamatwa Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, wakati wakijiandaa kuhudhuria usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Tundu Lissu.

22 Mei, 2025
Wakenya wakosa kulipa mikopo ya zaidi ya dola milioni 46 chini ya “Hustler Fund”
Pesa hizi zilitolewa kupitia simu chini ya fungu maalumu la “Hustler Fund” mradi wa mikopo midogo midogo iliyoanzishwa na Rais William Ruto alipoingia madarakani 2022.


