20 Mei, 2025

Baadhi wapongeza hatua ya Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya

Ingawa baadhi wamekosowa hatua ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya waliokwenda kushuhudia kesi ya Tundu Lissu, wengine wameipongeza

2025 05 19t103035z 1908986671 rc2pkea9tv2i rtrmadp 3 tanzania politics 1

20 Mei, 2025

Rwanda yafanya matibabu ya moyo ya aina yake

Utaratibu huo ulifanyika Ijumaa, Mei 16, katika hospitali ya King Faisal kuziba tundu la moyo

king 20faisal

20 Mei, 2025

Rais Ruto akabidhi nyumba za bei nafuu Kenya

Rais wa Kenya William Ruto siku ya Jumatano alikabidhi familia 1080 nyumba za bei nafuu katika mtaa wa Mukuru, mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

mkuru

20 Mei, 2025

Kongamano la kwanza la usalama barani Afrika laanza wito ukiwa uwajibikaji katika kanda

Rais wa Rwanda Kagame amewaambia viongozi wa Afrika katika mkutano wa masuala ya usalama kuwa kutafuta misaada ya usalama kutoka nje hakujafanikiwa na kwamba suluhu inahitajika kutoka ndani ya bara la Afrika.

kagame

19 Mei, 2025

Ufaransa ‘yatupilia mbali’ kesi ya aliyekuwa mke wa Juvenal Habyarimana

Kulingana na mahakimu waliokuwa wanafuatilia kesi hiyo, hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja wa kumuhusisha na tukio hilo.

agathe

19 Mei, 2025

Somalia yazindua chanjo ya dhidi ya suruwa, polio, na nimonia

Shirika la Afya Duniani WHO, likishirikiana na serikali kuu ya Somalia pamoja na serikali za majimbo,linapanga kuwapa chanjo watoto milioni 3.1 walio chini ya umri wa miaka 5 katika kampeni ya wiki nzima

somalia 20vaccine

19 Mei, 2025

UN, Baraza la Rais Libya waunda ‘kamati ya mapatano’ baada ya mapigano Tripoli

Kamati hiyo ina lengo la kufikia makubaliano ya usitishaji wa mapigano na kulinda raia baada ya mapigano ya hivi karibuni katika mji mkuu wa Libya.

libya 20922

18 Mei, 2025

Mamia ya Wanyarwanda waliokimbilia Congo baada ya mauaji ya kimbari ya 1994 walirudishwa nyumbani

Kurejeshwa kwao kunatokana na makubaliano ya pande tatu kati ya Rwanda, Congo na UNHCR ambayo yamekuwepo kwa zaidi ya muongo mmoja.

fab 1 2 3 4 5

18 Mei, 2025

Prof Janabi ashinda uteuzi wa Mkurugenzi wa WHO – Kanda ya Afrika

Prof Janabi, daktari wa magonjwa ya moyo na msimamizi wa afya anayeheshimika sana, amekuwa na jukumu muhimu katika kuunda hali ya matibabu ya Tanzania.

fab 1 2

18 Mei, 2025

11 wauawa katika shambulio la kujitoa mhanga Somalia

Takriban watu 11 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu siku ya Jumapili.

fab 1 2 3
Inapakia...