Huduma za Intaneti zarejea tena nchini Tanzania

Samia Suluhu Hassan alitangazwa mshindi katika uchaguzi wa urais wa Tanzania na kupata muhula mwingine licha ya ghasia zilizoshuhudiwa nchini humu.
4 Novemba, 2025
RSF iliwaua wanawake 300, kubaka 25 katika saa 48 za kwanza Al Fasher: waziri wa Sudan

Wanawake ”wamedhalilishwa kingono, vurugu, na mateso” na RSF, ikiwemo waandishi wa habari wa kike, waziri wa nchi masuala ya jamii amesema.
2 Novemba, 2025
Jeshi la Guinea-Bissau lasema limetibua jaribio la mapinduzi lilohusisha maafisa kadhaa

Maafisa waliokamatwa kwa madai ya kuhusiska na jaribio hilo, wanahojiwa kwa sawa, naibu mkuu wa majeshi amesema
1 Novemba, 2025
Umoja wa Afrika yamchagua Rais wa Uganda kuwa mpatanishi wa amani Sudan

Vita nchini Sudan vimekuwepo tangu Aprili 2023 na kusababisha maelfu kuhama makazi yao na wengine kukimbilia nchi za nje.
31 Oktoba, 2025

Hussein Mwinyi atangazwa mshindi wa Urais Zanzibar

Hospitali ya mwisho Al Fasher, Darfur yashambuliwa; mamia wahofiwa kufariki – Umoja wa Mataifa

Wataalamu waonya kuhusu uwezekano wa vita vya kikabila Sudan

Misri yatoa wito wa kusitishwa mapigano kwa misingi ya kibinadamu Al Fasher, Sudan

Tanzania yatangaza amri ya kutotoka nje Dar es Salaam kufuatia maandamano ya kupinga uchaguzi
29 Oktoba, 2025
Raia wa Tanzania wapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2025
Raia wa Tanzania kutoka sehemu mbalimbali za nchi wameanza kupiga kura mapema hii. Zoezi hilo limeanza rasmi saa moja asubuhi na linatarajiwa kukamilika saa kumi alasiri.

28 Oktoba, 2025
Wafanyakazi watano wa kujitolea wauawa Sudan wakiwa wanasambaza chakula, kulingana na IFRC
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) limesema Jumanne kuwa wafanyakazi wake watano wa kujitolea wameuawa Sudan.

28 Oktoba, 2025
Viongozi wa upinzani Cameroon wapinga matokeo ya uchaguzi
Viongozi wa upinzani nchini Cameroon wamesema hawakubaliani na matokeo ya uchaguzi wa urais, ushindi huo ambao utaendelea kumuweka Rais Paul Biya madarakani kwa kipindi kingine cha miaka saba.

28 Oktoba, 2025
Watalii kutoka Ujerumani na Hungaria wafariki dunia katika ajali ya ndege Kenya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imesema ajali hiyo ilitokea katika Kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya.

28 Oktoba, 2025
Upigaji kura wa mapema Zanzibar
Barabara nyingi zinaonekana bila watu huku baadhi ya biashara zikifungwa Zanzibar. Haifahamiki hali hii iwapo imesababishwa na mvua kubwa zinazoanza kunyesha mapema ya asubuhi ya leo au ni kutokana na zoezi la kuanza kwa kura ya mwanzo.

27 Oktoba, 2025
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ashinda uchaguzi
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, 83, amechaguliwa tena kwa muhula wa nne katika uchaguzi uliokumbwa na idadi ndogo ya wapiga kura, kwa mujibu wa matokeo ya awali.

27 Oktoba, 2025
RSF yashutumiwa kwa kutekeleza mauaji ya kikabila huku mashambulizi mapya yakiripotiwa Darfur, Sudan
Kundi la Madaktari la Sudan pia limeishutumu wapiganajai wa RSF kwa kuwaua raia kutokana na asili zao za kikabila na kupora vituo vya afya katika mji wa El-Fasher.

27 Oktoba, 2025
Paul Biya wa Cameroon, 92, achaguliwa tena, matokeo rasmi yaonesha
Rais mwenye umri mkubwa zaidi duniani Paul Biya ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa Oktoba 12, ikiwa ni muhula wake wa nane ambao huenda akawepo madarakani hadi karibu miaka 100.

27 Oktoba, 2025
Kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania kukamilika
Pazia la kampeni hatimae linafungwa nchini Tanzania, hii ikiashiria miezi miwili ya heka heka za wanasiasa kutoka vyama mbalimbali kuomba ridhaa ya wananchi Ili kupewa nafasi za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

27 Oktoba, 2025
Djibouti yaondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais
Hii inafungua mlango kwa Ismail Omar Guelleh kuwania muhula wa sita licha ya kuwa sasa hivi ana umri wa miaka 77.



