Kenya yakamata meli na raia wa Iran wanaoshukiwa kusafirisha dawa za kulevya

Raia sita wa Iran wamekamatwa kwenye pwani ya Kenya mjini Mombasa wakiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya dola milioni 63
26 Oktoba, 2025
Rais wa Malawi atangaza hali ya dharura kwa ukosefu wa chakula

Takriban watu milioni 4 wako katika hatari ya kukumbwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka huu na mapema mwaka ujao.
26 Oktoba, 2025
Oauttara wa Côte d’Ivoire awania muhula wa nne

Kuna wapiga kura zaidi ya milioni nane waliosajiliwa na wagombea uraisa watano.
25 Oktoba, 2025
Watoto watatu hufa kila siku El-Fasher nchini Sudan kutokana na utapiamlo: Ripoti

“Kwa zaidi ya mwezi mmoja, hali ya kibinadamu mjini El-Fasher imezidi kuwa mbaya sana,” Kundi la Madaktari la Sudan limesema katika taarifa.
24 Oktoba, 2025

Rais Tinubu awabadilisha viongozi wakuu wa jeshi la Nigeria

Waasi wa M23 nchini DRC wakanusha kuiba dhahabu

Jeshi la Nigeria lawaua zaidi ya wanamgambo 50 wa Boko Haram

Mkenya aliyeshinda mbio za Marathon apigwa marufuku kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu

Djibouti yajipanga kwa mabadiliko ya katiba kuelekea uchaguzi wa urais 2026
23 Oktoba, 2025
Mgombea wa upinzani Cameroon Tchiroma atoa wito wa maandamano kabla ya matokeo
Maafisa wamepiga marufuku mikusanyiko ya umma na safari za boda boda katika miji mbalimbali wakati wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya mwisho kufikia Jumatatu jioni.

23 Oktoba, 2025
Kiongozi wa Mali awafuta kazi makamanda waandamizi huku kukiwa na matatizo ya usalama
Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo Assimi Goita alimtimua naibu kamanda wa jeshi, mkuu wa usalama jeshini na mkuu wa majeshi ya ardhini.

23 Oktoba, 2025
Jeshi la Uganda lakana kuwateka raia wawili wa Kenya
Wanaharakati Wakenya Oyoo na Njagi walikuwa wamesafiri hadi Uganda kumuunga mkono mgombea urais wa upinzani Bobi Wine.

22 Oktoba, 2025
Uwanja wa ndege wa Khartoum, Sudan, wapokea ndege ya kwanza ya baada ya zaidi ya miaka miwili
Ndege ya abiria ya kampuni ya Badr Airlines imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum kwa mara ya kwanza tangu Aprili 2023, ikiwa ni ishara ya kurejea kwa safari za ndege za kiraia baada ya zaidi ya miaka miwili ya kufungwa.

22 Oktoba, 2025
Mashambulizi ya droni katika mji mkuu wa Sudan yachelewesha kufunguliwa upya kwa uwanja wa ndege
Safari ya ndani ya kwanza ya ndege ya kibiashara ya kampuni ya Badr Airlines ilipangwa kufanyika Jumatano.

22 Oktoba, 2025
Kenya yaanza mitihani ya kitaifa ya sekondari
Watahiniwa 996,078 wamesajiliwa kufanya mitihani ya KCSE katika zaidi ya vituo 10,000 kote nchini.

22 Oktoba, 2025
Misri inahimiza hatua za haraka za Umoja wa Mataifa kuidhinisha ujumbe wa kulinda amani wa Gaza
Maoni ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty yanakuja huku kukiwa na hofu kubwa kwamba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaweza kusitisha mpango huo na kuanzisha tena vita vya Gaza.

21 Oktoba, 2025
Watu zaidi ya milioni moja warejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Watu zaidi ya milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita licha ya hali ya ukosefu wa usalama, shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema siku ya Jumanne.

21 Oktoba, 2025
Ajali ya treni mashariki mwa Ethiopia yaua watu 14, wengine 29 wajeruhiwa
Watu wasiopungua 14 wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa baada ya treni ya abiria kupata ajali mashariki mwa Ethiopia, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa Jumanne na vyombo vya habari vya serikali.

21 Oktoba, 2025
Uchaguzi mkuu wa Uganda kufanyika Januari 15
Tume ya Uchaguzi ya Uganda imetangaza rasmi kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika tarehe 15 Januari. Katika uchaguzi huo, Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, atawania muhula wa saba madarakani.



