8 Mei, 2025

Rais wa Kenya ateua makamishna wa tume huru ya uchaguzi

Rais wa Kenya William amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi nchini humo.

ruto 20rut

8 Mei, 2025

Rwanda yatuma maafisa wa polisi Jamhuri ya Afrika ya Kati

Rwanda ilianza oparesheni zake za usaidizi wa amani nchini CAR mwaka 2014, na kwa sasa ina vikosi vinne nchini humo.

rwanda 20police

8 Mei, 2025

Rais wa Tanzania amewafutia rasmi faini za madeni ya bili za maji raia wake

Baadhi ya raia wa Tanzania wanaodaiwa faini ya bili za maji, wamepata afuweni baada ya rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kuwafutia mzigo huo wadaiwa.

2025 03 21t120200z 281019961 rc2ohdasa39y rtrmadp 3 namibia election main

8 Mei, 2025

Wanamgambo wa RSF waanzisha mashambulizi mapya katika maeneo ya mashariki, kusini mwa Sudan

Mashambulizi yamelenga maghala ya kimkakati ya mafuta na kambi za kijeshi nchini Sudan, ikijumuisha maeneo muhimu yanayodhibitiwa na jeshi kama vile Port Sudan na Kosti.

2025 05 06t142532z 1011591175 rc2 cea35prx rtrmadp 3 sudan politics

8 Mei, 2025

Kenya yasajili wafungwa katika huduma mpya ya bima ya taifa ya afya

Kuanzia Oktoba 2024, Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (SHA) umechukua nafasi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambao umekuwepo tangu 1966.

kamiti main

8 Mei, 2025

UAE ‘haitambui’ uamuzi wa Sudan wa kukata uhusiano wa kidiplomasia

UAE inasema serikali inayoambatana na jeshi la Sudan sio serikali halali ya nchi hiyo ya Kiafrika. Hii inakuja siku moja baada ya Sudan kukata uhusiano wa kidiplomasia na kufunga ubalozi wake na ubalozi wake katika jimbo la Ghuba.

2025 03 26t225147z 1804210971 rc2 h rtrmadp 3 sudan politics burhan

8 Mei, 2025

Moshi mweusi Vatican mchakato wa kura siku ya kwanza wakamilika

Papa mpya hakuchaguliwa baada ya kura ya kwanza kupigwa kwa lengo la kumchagua kiongozi huyo wa 267 wa Kanisa Katoliki duniani.

black 20smoke

7 Mei, 2025

Urusi, Jamhuri ya Congo yajadiliana kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kijeshi

Urusi imefanya mazungumzo na Jamhuri ya Congo kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano wa masuala ya kijeshi kati ya nchi hizo mbili.

congo

7 Mei, 2025

Serikali ya Trump inapanga kuwasafirisha wakimbizi Libya kwa kutumia ndege za kijeshi

Maafisa wa Marekani wanasema watu wanaweza kuanza kusafirishwa kutoka nchini humo kuanzia wiki hii, licha ya kuwa mpango huo umezua taharuki na watu kuupinga

erdogan 20trump

7 Mei, 2025

Jela kwa wasafirishaji wa siafu Kenya

Miongoni mwa wanne hao kuna raia wawili wa Ubelgiji ambao walipatikana na hatia kwa kujaribu kusafirisha siafu hao adimu nje ya nchi.

2025 05 07t100041z 1694514581 rc2vcea8aq7b rtrmadp 3 kenya ants
Inapakia...