1 Mei, 2025

Waziri Mkuu wa Libya aamuru kufungwa kwa balozi 25

Ofisi ya Waziri Mkuu inasema serikali itapitia upya kiwango cha wafanyakazi na mazingira ya kazi katika balozi zilizobaki.

gettyimages 1233202076

1 Mei, 2025

Kiongozi wa Sudan al-Burhan amteua Al-Haj kama waziri mkuu wa serikali ya mpito

Al-Burhan pia ameidhinisha uteuzi wa mawaziri wengine wapya

burhan

30 Aprili, 2025

Mlima Kilimanjaro wang’ara kati ya maeneo ya kuvutia kwa picha ulimwenguni

Jumla ya wapandaji 50,000 hukwea mlima huo kila mwaka, huku ukivutia watumiaji wa mitandao zaidi ya milioni 5.5 kila mwaka.

izmir dikili

30 Aprili, 2025

Kenya: Watu wasiojulikana wammiminia risasi na kumuua mbunge wa Kasipul Charles Were

Dereva wa mbunge huyo hakupata madhara yoyote kwenye tukio hilo.

kapisul

30 Aprili, 2025

Uzalishaji wa madini ya shaba waongezeka kwa 30% Zambia

Mamlaka zinasema uzalishaji wa madini ya shaba umeongezeka licha ya kuwepo kwa mgao wa umeme kutokana na ukame

zam 20copper

30 Aprili, 2025

Rwanda kuongeza uwezo wake wa kuhifadhi mafuta

Chini ya mipango hiyo, serikali inalenga angalau miezi mitatu ya akiba ya mafuta na petroli, kutoka uwezo wa mwezi mmoja wa hivi sasa.

rwanda 20petroleum 1

30 Aprili, 2025

Umoja wa Mataifa yasafirisha wanajeshi na polisi wa DRC waliokimbia vituo

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO unasema maafisa hao wa usalama wamekuwa chini ya ulinzi wao kwa miezi mitatu kufuatia mashambulizi ya waasi wa M23 mashariki mwa DRC.

monusco

30 Aprili, 2025

Twiga nchini Kenya wahamishwa maeneo bora

Huduma ya Wanyamapori nchini Kenya, KWS inasema zoezi la kuhamisha wanyama linalenga kujaza makazi ambayo hayatumiki.

girraffe 202

30 Aprili, 2025

Maiti za wafanyakazi 5 wa timboni waliouawa na al Shabaab zasafirishwa Nairobi

Polisi wanasema waliouawa walikuwa wameondoka katika mji waliokuwa bila kufahamisha maafisa wa usalama, kama ilivyo kawaida ya eneo hilo. Wote walikuwa ndani ya usafiri wa umma.

mandera 20police 20

30 Aprili, 2025

Baraza la mawaziri Kenya lapitisha Muswada wa Fedha 2025

Mabadiliko muhimu ni pamoja na kurahisisha urejeshaji wa kodi, kuimarisha sheria za migogoro ya kodi, na kurekebisha sheria kuu za kodi ili kupunguza ukwepaji.

cabinet 20meeting 202
Inapakia...