Mamia wafariki wakati Angola ikipambana na mlipuko wa kipindupindu

Zaidi ya visa 14,000 vya kipindupindu na vifo 505 vimeripotiwa tangu mlipuko huo uanze Januari 2025.
22 Aprili, 2025
Jeshi la Sudan Kusini lauteka tena mji muhimu kutoka kwa wanamgambo wa White Army

Wasemaji wa jeshi na jeshi la White Army, ambalo chama cha Machar kinakanusha kuunga mkono, walisema mji wa Nasir ulitekwa tena siku ya Jumapili bila mapigano
22 Aprili, 2025
Sudan Kusini kutuma ujumbe Marekani kujadili kurejeshwa nyumbani raia wake

Haya yanajiri baada ya Makula Kintu, aliyejitambulisha kwa jina la Nemeri Garang, awali kunyimwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juba baada ya kufukuzwa kutoka Marekani, na kusababisha mzozo wa kidiplomasia
21 Aprili, 2025
Pasaka: Kanisa la Afrika Kusini lafungisha ndoa 3,000 katika harusi kubwa

Wakati wa sherehe hizo, baadhi ya wanaume walioa wake zao wa sita au wa saba huku wachumba wengine wakioa wachumba wawili kwa pamoja , kanisa linasema.
21 Aprili, 2025

DRC imekifuta chama cha rais wa zamani Kabila kwa madai ya kuwa na uhusiano na waasi wa M23

Vita vya Sudan: Familia zahangaika kusaidia waliojeruhiwa katika mji uliozingirwa wa El-Fasher

CHADEMA: Tumethibitisha Lissu anazuiliwa gereza la Ukonga

Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti DRC imeongezeka hadi 148

Mzozo wa DRC: Rwanda kuruhusu vikosi vya Kusini mwa Afrika kupitia kwao
21 Aprili, 2025
Watu 35 wauawa nchini Sudan kutokana na mashambulizi ya RSF El-Fasher: Jeshi
Jeshi linasema limefanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya wapiganaji wa RSF, na kuwaua 80, pamoja na kuharibu magari yao 10

21 Aprili, 2025
Baraza la Usalama la UN limelaani mashambulizi ya RSF dhidi ya wakimbizi huko Sudan
Baraza la Usalama la Umoja Wa Mataifa limetoa wito wa kuwajibishwa kwa kikosi cha RSF, kwa mashumbulizi dhidi ya raia.

21 Aprili, 2025
Uganda kuleta sheria itakayoruhusu raia kushtakiwa mahakama ya kijeshi
Kizza Besigye anashikiliwa na serikali ya Uganda kwa tuhuma za uhaini na umiliki wa silaha bila kibali.

21 Aprili, 2025
Polisi wa DRC wavamia maeneo ya aliyekuwa Rais Kabila – familia
Wachunguzi wanasema walikuwa wanatafuta vifaa vya kijeshi ambavyo huenda “viliibiwa au vimefichwa” lakini hakuna kilichopatikana, hii ni kulingana na msemaji wa familia ya Joseph Kabila.

21 Aprili, 2025
Afrika Kusini yashtumu mashambulizi ya Israeli kwenye hospitali Gaza kama uhalifu wa kivita
Israeli imeshambulia kwa mabomu, kuchoma na kuharibu, hospitali zisizopungua 35 Gaza tangu Oktoba 2023, Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini imesema.

21 Aprili, 2025
Rwanda isitishe kuwaunga mkono kijeshi M23 – Mshauri wa Trump masuala ya Afrika
Massad Boulos amesisitiza msimamo wa Marekani wa kuitaka ‘Rwanda kusitisha kuunga mkono kijeshi kundi la M23, na kuondoa vikosi vyake kutoka DRC’

21 Aprili, 2025
Raia wasiopungua 62 wameuawa kutokana mashambulizi ya RSF katika eneo la Darfur, Sudan
Wananawake 17, na watoto 15 ni miongoni mwa waliouawa, jeshi limesema

21 Aprili, 2025
‘Magaidi’ wachoma nyumba, makanisa katika mkoa wa Cabo Delgado nchini Msumbiji
Tangu 2017, eneo hilo lenye utajiri wa gesi limekuwa likikabiliwa na machafuko ya watu wenye silaha yaliyosababisha watu 10,000 kuhama makazi yao ikiwemo wanawake na watoto.

21 Aprili, 2025
Jeshi la Somalia laua magaidi 47 wa al-Shabaab
Shambulizi hiolo linakuja siku moja baada ya magaidi hao kudhibiti mji Adan Yabaal, ulioko kilomita 245 kutoka mji mkuu wa Mogadishu.

21 Aprili, 2025
Tanzania yatishia kupiga marufuku uingizaji wa bidhaa za Malawi
Waziri Bashe amewashauri wasafirishaji wote wa Kitanzania kuacha kupakia bidha hizo mpaka mgogoro huo wa kibiashara utakapopata utatuzi.


