Hisia mchanganyiko baada ya Tanzania kuorodheshwa Kundi A hatari ya CAF U20

Wenyeji Misri, mabingwa mara tatu wa kundi A, watamenyana na Zambia, Sierra Leone, Afrika Kusini na Tanzania katika kundi gumu.
21 Aprili, 2025
Wanariadha wa Ethiopia na Kenya washinda mataji katika mbio za Paris Marathon

Bedatu Hirpa wa Ethiopia ameshinda mbio za wanawake katika mbio za Paris Marathon, huku Mkenya Benard Biwott akiibuka kidedea katika mbio za wanaume.
21 Aprili, 2025
Kiongozi wa mapinduzi Gabon Nguema ashinda uchaguzi wa Rais

Brice Oligui Nguema alishinda uchaguzi wa urais Jumamosi kwa 90.35% ya kura zilizopigwa, kulingana na matokeo ya awali.
21 Aprili, 2025
RSF ya Sudan yadai udhibiti wa kambi kuu ya Darfur, raia wakimbia

Mashirika y misaada yamelaani shambulio hilo kuwa ni shambulio lililolenga raia walio hatarini, wakiwemo wanawake, watoto na wazee, ambao tayari wanakabiliwa na njaa.
21 Aprili, 2025
Inapakia...

