14 Septemba, 2025

Mgombea wa upinzani aruhusiwa kugombea urais wa Tanzania baada ya amri ya mahakama

Luhaga Mpina alifanikiwa kupinga uamuzi wa kuenguliwa kwake kwa madai kuwa chama chake kimeshindwa kufuata taratibu za uteuzi.

69f3f69c8109e0acd17ebfc6e8250e6052c2eb7260365bdf7e2070e4b10841fb

14 Septemba, 2025

Malawi kufanya uchaguzi huku kukiwa na msukosuko wa kiuchumi

Wagombea watatu kati ya 17 wa uchaguzi wa Septemba 16 tayari wamehudumu kama rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika na mwingine ni makamu wa rais wa sasa.

ecef8c5f5794437b3eb43a3a77854bb7def9517759f4cd28a00da7d03567ce6f

13 Septemba, 2025

Rais Kagame, akutana na kiongozi wa Qatar, kuonyesha mshikamano baada ya shambulio la Israel

Rais Paul Kagame pia alieleza shukrani kwa “jukumu muhimu la Qatar katika juhudi za upatanishi katika migogoro mbalimbali, ikiwemo katika eneo la Maziwa Makuu.”

0c9fcce9c587b3755ab77cef1f0e887247cdbf20b209755150b86e8eb9eada50

13 Septemba, 2025

Zaidi ya watu 100 wafariki baada ya boti kushika moto kwenye mto Congo

Shughuli za utafutaji ziliendelea siku ya Ijumaa na wafanyakazi wa majini na wajitolea wa jumuiya wakichanganya benki

1757705208915 symldf c9e0d74fd3fbc74b8f0e72e0dfb284b7c2531a2461b7c20276c28f8e9054a261

12 Septemba, 2025

UN yaonya ya kwamba mafuriko makubwa Sudan Kusini yanaweza kuathiri zaidi ya watu milioni 1

Mapigano, maradhi ya kipindupindu, na kupunguzwa kwa ufadhili imeongeza ukali wa janga hilo, asema mwakilishi wa shirikia la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini humo.

ca17b633e7b4ff7db1249422d79d87dc947c7c56feff38c341513cb49d87895d

12 Septemba, 2025

Wanajeshi kusimamia ujenzi wa hospitali Kenya

Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo katika kaunti ya Narok haukumfurahisha Rais wa Kenya William Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza wanajeshi kuingilia kati.

f2b1640dbbef4b5b59b1f83be454872418e771258ddb34d590abe2db0bac5e1b

12 Septemba, 2025

Raia wa Afrika kutolipia viza kuingia Burkina Faso

Hata hivyo, urahisi huo unaweza kubadilika baada ya nchi hiyo kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS).

db307f5928ee8efba35109402bc8269a29e4c446e53b83c8967d13836b3aa7fd

11 Septemba, 2025

Sudan Kusini yamshtaki Makamu Rais Riek Machar kwa makosa ya mauaji na uhaini

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ameshtakiwa kwa makosa ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu kwa madai ya kuhusika katika mashambulizi yaliyofanywa na kundi la ‘White Army’ dhidi ya vikosi vya serikali mwezi Machi.

becd356523f309407ca2b93d35782df13a12924b062dc62513564876512dc45b

11 Septemba, 2025

Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imeruhusu wanaume kuchukua majina ya ukoo ya wake zao

Katika uamuzi wake wa Alhamisi, Mahakama Kuu ya Afrika Kusini iligundua kuwa kipengele fulani cha sheria kinahusiana na ubaguzi wa kijinsia usio wa haki.

b4302ce3ea09125acbef6a806964324a3409684f2d900c3479de19380a2fb3a3

11 Septemba, 2025

Hospitali ya Recep Tayyip Erdoğan: Daraja la afya na undugu nchini Somalia

Hospitali hii pia imekuwa daraja katika safari ya Somalia kuelekea ustawi wa kudumu, ikipiga jeki ufufuaji wa mfumo dhaifu wa afya uliodorora kwa miongo kadhaa kutokana na vita vya ndani na miundombinu dhaifu na isiyotosha.

0832df1bd2f09cd75c8b41d98a5d76e3f1fbaa109364d7856d782bec2857a3be
Inapakia...