9 Septemba, 2025

ICC kuwasilisha ushahidi kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya Joseph Kony wa Uganda

Kinachojulikana kama uthibitisho wa kusikilizwa kwa mashtaka kinakuja miongo miwili baada ya ICC kutoa hati ya kukamatwa kwa Joseph Kony kwa madai ya uongozi wake wa kundi la kikatili la waasi.

uganda joseph kony explainer 72837

9 Septemba, 2025

Ethiopia yazindua bwawa kubwa la kuzalisha umeme kwa maji licha ya upinzani mkali wa Misri

Utafiti huru unaonyesha kuwa kufikia sasa, hakuna usumbufu mkubwa wa mtiririko wa maji uliorekodiwa – kwa sehemu kutokana na mvua nzuri na kujazwa kwa uangalifu kwa hifadhi wakati wa misimu ya mvua katika kipindi cha miaka mitano.

1757395670624 f5rdw dc312a84bc63b69e3f9fa0ccea54f05eca2de65066ff5da6554edca7da05f7be

8 Septemba, 2025

Afrika yatoa wito wa uwezkezaji katika sekta ya hali ya hewa na suluhisho zinazoongozwa na Afrika

Mkutano wa siku tatu wenye kaulimbiu “Kukuza Haraka Suluhisho za Hali ya Hewa Duniani: Ufadhili kwa Maendeleo Endelevu na Yenye Mazingira Safi Afrika” ulianza kwa sherehe ya kupanda miti katika viwanja vya ukumbi wa mkutano.

1757349012951 cc5vlm 0cf1ff2a93e58b5199868701b7329f9995b94f0c61a8bc305cac4bf528c0405e

8 Septemba, 2025

Mahakama ya ICC kuanza kusikiliza kesi ya Joseph Kony

Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto.

1a8acee114c59c12b7c68a3483b8f2ee3e5cef1bdc00dd176f7bc7268268daa1

8 Septemba, 2025

Balozi wa UN afanya mazungumzo na Haftar wa Libya kuhusu serikali moja ya mpito

Umoja wa Mataifa umekuwa umekuwa ukisisitiza kuwepo kwa makubaliano nchini Libya ili kupisha maandalizi ya uchaguzi.

4ce4027d464c439400aede0f21238a8730740b74aec0bc8a366ef5285269727b

8 Septemba, 2025

Misri imerejelea wito kwa Israel kukubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza

Misri imewataka Israeli tena kukubali mapendekezo ya mara kwa mara ya kusimamisha vita katika Ghaza, huku ikiwakashifu kwa nguvu uvamizi unaoendelea wa Israeli dhidi ya Wapalestina.

2025 09 05t102234z 1086725282 rc2llga55wl4 rtrmadp 3 israel palestinians egypt gaza main

8 Septemba, 2025

Waasi wa M23 wauteka tena mji wa mashariki mwa DRC huku mazungumzo ya amani yakikwama

Waasi wa M23 wameuteka tena mji wa Shoa katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini DRC baada ya mapigano na vikosi vinavyounga mkono serikali, wakaazi walisema Jumapili.

41e0d78446af4f584f7a2842a2a55a3e7f6387afef4c7730a28d03a0ccfa4703 main 1

8 Septemba, 2025

Balozi wa Somalia nchini Syria awasilisha hati za utambulisho kwa kiongozi wa Syria

Balozi mteule wa Somalia nchini Syria amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Ahmad al-Sharaa.

686ac0c6bd974e8827696f54fd61e1a5d2a151a3ab8814650b41157e94d66693 main

7 Septemba, 2025

Sudan Kusini yamrejesha Mexico mhamiaji waliyempokea kutoka Marekani

Sudan Kusini inasema Mexico ilikuwa imetoa hakikisho kwamba aliyefukuzwa hatakabiliwa na mateso.

2025 09 06t204614z 365106852 rc2dmgacfuc9 rtrmadp 3 southsudan usa

7 Septemba, 2025

Watoto kati ya 11 waliotoweka baada ya kiboko kupindua mashua nchini Côte d’Ivoire

Watu watatu walinusurika katika tukio hilo na kuokolewa, na msako unaendelea kuwatafuta waliotoweka, alisema waziri wa serikali.

c381469283321770f6ce51e5c6b46ade71e1d0d1cc2cb3979c5746cdf1470317
Inapakia...