4 Septemba, 2025

DRC yatangaza mlipuko mwingine wa Ebola, watu 15 wafariki

Maambukizi 28 yameripotiwa katika mkoa wa Kasai, huku vifo vikiwa asilima 57 vilivyothibitishwa na taasisi ya utafiti ya kitaifa, amesema Waziri wa Afya Roger Kamba

899f47506a8f22f15467513a7466a3be26e415ea6a3a33d52176c86af72177cc

4 Septemba, 2025

Boko Haram: Mashambulizi ya angani Nigeria yawaua magaidi zaidi ya 15 katika msitu

Mashambulizi ya angani yamelenga eneo jipya la magaidi magharibi mwa Zuwa katika sehemu ya Sambisa, anasema msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria

543d8e94b4a7d3f6ee12644729ca1b1ca7a70c79467450c48e0b0a937c02a2a9

4 Septemba, 2025

CHAUMMA wajinadi na sera ya mabadiliko

Chama hicho cha upinzani kimeendelea kuomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania, siku sita toka kuanza kwa kampeni za nchi nzima kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

7d532b1733299b614755261756fffa19b8a9d61eed91d8a04fb654a8eb94fbb7

4 Septemba, 2025

Papa Leo XIV atoa wito wa kusitishwa kwa ‘janga la kibinadamu’ Sudan

Ni wakati wa kuanzisha mazungumzo ya kina, ya dhati na jumuishi ili kumaliza mzozo huo,” Papa anasema.

vatican pope 58290

4 Septemba, 2025

Rwanda kuzindua teksi za hewani zinazojiendesha zenyewe

Mpango huu unaimarisha nafasi ya Rwanda kama kitovu cha Afrika cha majaribio ya teknolojia ya kisasa ya anga, ilisema serikali ya nchi hiyo.

e03109174b4af8eb8886ef4ba1e6def810d04bfdfaf3907151df86bbb9bf34f6

4 Septemba, 2025

Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia aacha kazi

Waziri Mkuu Abiy Ahmed alimteua Mamo kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia, NBE mnamo Januari 2023.

2025 04 24t215416z 1 lynxmpel3n18g rtroptp 3 imf worldbank

3 Septemba, 2025

Ethiopia yawania kuandaa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu tabianchi 2027

Ethiopia inawania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi 2027 katika mji mkuu Addis Ababa, wakiwa kwenye ushindani na Nigeria.

47be776fce15ef7287d938cade2b88e1d3fa84f87d6c3bc15f10f46782896fa3

3 Septemba, 2025

Mwanamfalme wa Qatar ataka kuwekeza dola bilioni 21 DRC,serikali ya nchi hiyo imesema

Mwanamfalme wa Qatar Sheikh Mansour bin Jabr bin Jassim Al Thani anataka kuwekeza dola bilioni 21 nchini DRC, serikali ya nchi hiyo ilitangaza siku ya Jumatano.

6d550b5d413b3632c2c9e72f5d67b054d1d18c3790221c861daf36cd5455e5fb

3 Septemba, 2025

DR Congo yashtumu waasi wa M23 kwa kukiuka haki za binadamu, kulazimisha watu kujiunga nao

Utekaji nyara wa vijana unaendelea, hadi kulazimisha watu kujiunga nao katika mapigano , amesema afisa mmoja

e92121d9344f46f9a259c2e1121c6d399c16764dbbf3f8fa4cab6c4d90d7edbe

3 Septemba, 2025

Luhaga Mpina: Sirudi CCM ng’o

Mwanasiasa huyo, ambaye uteuzi wake wa kugombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo ulitenguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo (INEC), amesema kuwa hana nia ya kurejea kwenye chama chake cha CCM.

43b34550100f80314c72205b8569b2f1d9181d24434b47a9585c46940c874b3a
Inapakia...