29 Agosti, 2025

Zaidi ya 6,000 waondoka kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyopo nchini Kenya

Mashirikia ya kibinadamu yameshindwa kutoa chakula kwa idadi kubwa ya wakimbizi kutokana na kupunguzwa kwa ratiba za chakula baada ya kupunguzwa kwa misaada kutoka Marekani na wahisani wengine.

1123d4bd094435d3ea21ae6efd3dfb98515d322d0941ad444ccde0bf9d9f0b99

28 Agosti, 2025

Rwanda yapokea wahamiaji waliotimuliwa kutoka Marekani mapema mwezi huu

Rwanda imepokea wahamiaji saba waliotimuliwa kutoka Marekani mapema mwezi huu, msemaji wa serikali alisema kupitia taarifa siku ya Alhamisi, wiki chache baada ya nchi hizo mbili kufikia makubaliano ya kuhamisha hadi watu 250.

1807c75d975eeceb7915517f6cef28a5f6f7c77157d606b3cdef026f0cfc9259

28 Agosti, 2025

Wakuu wa jeshi kutoka Somalia na Uturuki watembelea kambi za kijeshi za kupambana na Al-Shabaab

Wakuu hao wa kijeshi walifanya mazungumzo yaliyolenga kutathmini hali ya usalama, mahitaji ya wanajeshi, na mikakati ya kuongeza mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la Al-Shabaab.

25325360f250f3b0af4ee4442dec27d7729f1ba93d725bd7beef81915a160a2f

28 Agosti, 2025

Rwanda yapokea kundi la kwanza la wahamiaji kutoka Marekani

Wahamiaji saba wamepewa makazi na Shirika la Kimataifa la Wahamiaji na ndiyo wenye idhini ya kuwatembelea, msemaji wa serikali amesema.

fe6c37d07f3adf87d1041aba4995663ff0ee762f31714c6bb6db07967e46c6a5

27 Agosti, 2025

Sudan inaripoti maambukizi 1,200 mapya ya kipindupindu na vifo 36 ndani ya wiki moja

Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu katika nchi hiyo ya Afrika ilipanda hadi kufikia 102,831, ikiwa ni pamoja na vifo 2,561 tangu kuzuka kwa Agosti 2024.

34badb9b8867c7d4a7299d18057a8c8a4e33748b937741b52719c7b5ebcf7464

27 Agosti, 2025

Kundi lililojitenga la upinzani nchini Somalia lakubaliana na Rais juu ya uchaguzi

Kikundi cha upinzani cha Somalia kilichotenguka kutoka katika muungano wake mkuu kimesaini mkataba wa uchaguzi na Rais Hassan Sheikh Mohamud.

2025 03 28t195214z 2 lynxnpel2r11n rtroptp 3 somalia politics main

27 Agosti, 2025

Zambia yagundua zumaridi ya Kipekee ya karati 11,685

Zumaridi ya karati 11,685 (kilo 2.3) imepatikana nchini Zambia, kampuni ya uchimbaji madini ilisema.

179650fba327710b51e9dad31391278dbdcdb8af02b4512e964d1a5a66fb47a5 main

26 Agosti, 2025

Tanzania yajikita kuongeza thamani ya madini ya nikeli na shaba

Licha ya Tanzania kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwemo madini adimu kama nikeli na shaba, wachimbaji wa madini hayo kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kutonufaika ipasavyo.

b7aa1a9fc8c87f7c94906075b72743bd8cd6d76c7fd86e7801957aaed835502a

26 Agosti, 2025

DR Congo na waasi wa M23 waanzisha tena mazungumzo ya amani – Qatar

Mazungumzo hayo “yalijumuisha majadiliano juu ya kutafuta utaratibu wa kufuatilia usitishaji vita, pamoja na kubadilishana wafungwa”, wizara ya mambo ya nje ya Qatar ilisema.

99ca623d6476e5465d87ef1a974d0baf6ae471780e321660be1a82037dfb1296

26 Agosti, 2025

Uwanja wa ndege wa Entebbe waweka rekodi ya abiria wengi zaidi

Uwanja wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda umepata abiria wengi zaidi mwezi Julai 2025 ikiwa ni 230,577, idadi kubwa zaidi katika historia ya uwanja huo wa ndege.

d78ae73b7fa15fb283a44de422bd711d61fb363fdcdc8330edec2d3542a93756
Inapakia...