2 Julai, 2026

Tanzania: Rais Samia aitaka TRA kukusanya kodi kwa haki

Rais Samia alisisitiza kuwa vita dhidi ya ukwepaji kodi, magendo na mianya ya upotevu wa mapato, ni lazima viende sambamba na huduma rafiki kwa walipakodi na mazingira bora ya biashara.

71b86b706f6a81d532cfd87eef96c7b00655e7dad17b35d92c09b3ed520265c7

2 Julai, 2026

Ubelgiji yaiondoa Senegal Kombe la Dunia 2026

Ubelgiji ilifuzu kwa hatua ya timu 16 ya Kombe la Dunia baada ya ushindi 3-2 dhidi ya Senegal siku ya Jumatano, wakifunga magoli mawili dakika za mwisho mwisho kulazimisha muda wa zaida ambapo penati ya Youri Tielemans dakika 125 ilimaliza kazi.

56a61d87e09c7bac31e8813e96e7a71d39432d4e65e51905a55dad47b50584e1

1 Julai, 2026

Mlipuko wa kipindupindu waua watu 120 Sudan tangu Mei 2026

Mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan umeua watu 120, huku watu 1,102 wakiripotiwa kuambukizwa tangu mwezi Mei katika maeneo ya vita, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema Jumatano.

4b9f19b6bc28432a2cadcccfd57088b2dbdfd5db95752ead5d39b8d5c328608a

1 Julai, 2026

Wasichana 8 wa shule nchini Kenya washtakiwa kwa mauaji ya wanafunzi wenzao katika moto wa bweni

Kenya imekumbwa na matukio kadhaa ya moto shuleni huku mengi yakichomwa na wanafunzi.

2026 07 01t124429z 1 lynxmpem602pq rtroptp 3 kenya fire

1 Julai, 2026

Zaidi ya 900 wakamatwa wakati wa maandamano ya kupinga wahamiaji Afrika Kusini

Waandalizi wa maandamano hayo wanasema wataendelea na maandamano kwa muda wa miezi mitatu ijayo.

2026 06 30t113510z 1 lynxmpem5t0r3 rtroptp 3 safrica xenophobia

1 Julai, 2026

Basi la kuwarejesha raia wa Malawi kutoka Afrika Kusini laanguka na kuwajeruhi wengi

Abiria 11 waliojeruhiwa walipelekwa katika hospitali ya Musina kwa matibabu.

801c8f80a3934174da724d1a3d2b6369952e587dc201cac1c774e07a9a3ae84f

30 Juni, 2026

Maelfu waandamana dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini

Maelfu ya watu wameandamana nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne wakidai wahamiaji wasio na nyaraka halali wafukuzwe nchini humo na sheria za uhamiaji zifanyiwe marekebisho ili ziwe kali zaidi.

8916423e3228b2320bdd6db6c4b7e61ca1a4b4479e47e55d6443e48475da0130

30 Juni, 2026

Vyombo vya habari vilivyofungwa na jeshi la Uganda vinasema mazungumzo yanaendelea ili kufungua tena

Wanajeshi wameendelea kuwazuia wafanyakazi kuingia katika majengo ya kampuni hiyo mjini Kampala huku majadiliano yakiendelea.

2026 06 28t115743z 1289808855 rc2v2man1xw9 rtrmadp 3 uganda politics

30 Juni, 2026

Raia wa Afrika Magharibi waliofurushwa Marekani waishitaki Ghana kwa kukubali mpango wa nchi ya tatu

Kesi hiyo inadai Ghana inakiuka sheria za ndani na kikanda kwa “kuwezesha uondoaji kwa nchi zisizo salama.”

d21b4f26fa5f71ab41526f030e8088bde1a335d0eee31c6761b7d95604fff613

30 Juni, 2026

Kenya na Rwanda zatia saini mkataba wa usafirishaji na uhifadhi wa mafuta kujiepusha na misukosuko

Nchi za Afrika Mashariki zinajaribu kuimarisha ustahimilivu wa nishati kufuatia kuyumba kwa soko la mafuta duniani hali ambayo imefichua hatari ya nchi zinazotegemea uagizaji bidhaa kutoka nje

d0e505dbe1d45017d885e7415cdd950d38edc868c928ff7b33b1ee1c2bb3e13a
Inapakia...