Botswana inatangaza dharura ya afya ya umma huku kliniki zikikosa dawa

Wizara ya afya ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika ilionya mapema mwezi Agosti kuwa inaishiwa na dawa na vifaa kutokana na changamoto za kifedha ambazo hazikutajwa, na kuahirisha upasuaji wote usio wa dharura.
26 Agosti, 2025
Misri, Saudi Arabia zinahimiza shinikizo zaidi la kimataifa kwa Israel kusitisha vita vya kuua Gaza

Saudi Arabia na Misri zimetoa wito wa kusitishwa mara moja kwa vita vya Israel dhidi ya Gaza, huku mataifa yote mawili yakihimiza shinikizo kubwa la kimataifa ili kupata usitishaji mapigano.
26 Agosti, 2025
Burkina Faso, Mali haijawakilishwa katika mazungumzo ya ulinzi wa Afrika nchini Nigeria

Burkina Faso na Mali hazikutuma wawakilishi katika mkutano wa kijeshi wa bara hilo ulioandaliwa na Nigeria siku ya Jumatatu huku kukiwa na hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo mbili za Sahel na majirani zao.
25 Agosti, 2025
Zaidi ya wakimbizi 500 wa Rwanda wanarejea kutoka DRC huku mchakato wa amani ukiendelea

Kurudishwa huko kunatimiza sehemu ya ahadi zilizotolewa na Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Shirika la UNHCR kuwezesha kurejea kwa usalama na kwa hiari kwa wakimbizi, inasema serikali.
25 Agosti, 2025

Waandamanaji wanaounga mkono Palestina nchini Kenya, Senegal wamekemea Israel kwa vita dhidi ya Gaza

Wazima moto wapambana na moto wa msitu kaskazini mwa Morocco huku kukiwa na wimbi la joto

Wahamiaji kutoka Afrika Kaskazini hawajulikani walipo baada ya kuruka kutoka kwa mashua Uhispania

UNESCO yataka kukomeshwa kwa utumwa wa kisasa huku matamshi ya Trump yakizua hasira

Mwendesha mashtaka wa jeshi anataka hukumu ya kifo kwa rais wa zamani wa DRC Kabila
23 Agosti, 2025
Mamilioni ya Waafrika walipotea: Trump akashifiwa kwa kudharau mambo ya kutisha ya utumwa
Donald Trump amekashifu Smithsonian kwa kuzingatia “jinsi utumwa ulivyokuwa mbaya”. Wanahistoria wanasema biashara ya utumwa ya Atlantiki ilikuwa miongoni mwa makosa makubwa zaidi ya utumwa na haki za binadamu.

22 Agosti, 2025
Maporomoko mabaya yasababisha majengo kufukiwa karibu na mji mkuu wa Guinea
Maporomoko hayo yanafuatia mvua mvua kubwa katika eneo hilo na kuja wakati Afrika Magharibi ikikumbwa na mafuriko, na kusababisha kufariki kwa watu zaidi ya 1,000 katika kipindi cha kwa mwaka uliopita.

22 Agosti, 2025
CHAN 2024: Tanzania kuvunja mwiko wa kufungwa na Morocco?
Timu ya taifa ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’, inajitupa uwanjani Agosti 22, 2025, kukabiliana na Morocco, katika mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024.

21 Agosti, 2025
Jeshi la Sudan lakanusha kushambulia kwa bomu msafara wa msaada wa WFP Darfur
Jeshi la Sudan limekanusha madai ya wapiganaji wa RSF kuwa limefanya mashambulizi ya angani dhidi ya msafara wa misaada wa shirika la Mpango wa Chakula (WFP) uliokuwa unapeleka misaada Darfur.

21 Agosti, 2025
Nigeria yawaondoa nchini raia wa kigeni matapeli 102, wengi wao wakiwa raia wa China
Waliofukuzwa nchini humo walikuwa miongoni mwa washukiwa 792 wanaoaminika kuhusika na wizi wa mitandaoni waliokamatwa katika msako jijini Lagos.

21 Agosti, 2025
Uganda yakubali kupokea wahamiaji walionyimwa kuingia nchini Marekani
Mpango huo unahusisha watu wenye rekodi za uhalifu, watoto wasio na walezi, na wale wanaosita kurudi makwao, kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo.

21 Agosti, 2025
Sudan yaanza kuijenga upya Khartoum huku vita vikiendelea
Umoja wa Mataifa (UN) inakadiria kuwa ukarabati wa miundombinu muhimu ya mji mkuu utahitaji karibu dola milioni 350, wakati ujenzi mzima wa Khartoum “utachukua miaka.”

21 Agosti, 2025
Uganda yafanya makubaliano na Trump ya kupokea wahamiaji kutoka Marekani
Uganda inakuwa nchi ya Afrika ya mwisho kukubali wahamiaji waliotimuliwa kutoka Marekani baada ya Eswatini, Sudan Kusini na Rwanda.

21 Agosti, 2025
47 wafariki huku maelfu wakiachwa bila makazi kufuatia mafuriko nchini Niger
Maelfu ya watu wamepoteza makazi yao kutokana na mafuriko ambayo yameharibu nyumba na kuua mifugo, kama ilivyosemwa na mamlaka.

20 Agosti, 2025
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki katika ajali ya boti Nigeria
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki baada ya boti kuzama kaskazini magharibi mwa Nigeria, shirika la huduma ya dharura la nchi hiyo limesema siku ya Jumatano.



