31 Julai, 2025

Serikali ya Kenya yalalamika kuhusu masharti mapya ya biashara Tanzania

Kenya imewasilisha malalamiko rasmi kuhusu masharti mapya ya biashara na leseni yaliyotangazwa na Tanzania wiki hii.

1753962265569 rjjp9k bd3589c11cef9e821015020f4cf34f394208dc8c9cf05c1ebc199e3c6fd832c8

31 Julai, 2025

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Sudan wajadili juhudi za kutafuta amani nchini Sudan

Waziri wa Sudan ametoa shukrani zake kwa nchi ya Misri kuendelea kwake kuunga mkono uhuru na usalama wa Sudan.

a39f9309a3be8304e73dde7611233f964cca8645620c1837b8ba35d6ed43deac

31 Julai, 2025

Tuko tayari kwa CHAN, Uganda yasema

Serikali ya nchi hiyo imesema kuwa usalama umeimarishwa ipasavyo huku mashabiki wa soka wakitarajiwa kuelekea katika uwanja wa taifa wa Mandela ambao pia unajulikana kama Uwanja wa Namboole, kwa ajili ya michuano hiyo ya (CHAN)

0a90ce8ed1a30301f36e6eb4885308f784eaae9a8f0e90ad82d36f00026f4605

31 Julai, 2025

Watoto 80,000 wako katika hatari kubwa ya kipindupindu Afrika Magharibi na Kati: UNICEF

Mlipuko wa kipindupindu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Nigeria umeibua tishio la maambukizi hayo kuenea nje ya mipaka, shirika la Umoja wa Mataifa limesema

08de2c19e00146961fed13b565c996bedbf28f3655cddc770994ceadadabf46c

30 Julai, 2025

Takriban wanajeshi sita wameuawa katika mapigano ya mpaka kati ya Sudan Kusini na Uganda

Mpaka huo haujafafanuliwa vizuri na mara nyingi huzua mapigano madogo madogo

71a2eb80e7f4369070770b254b44b9c2e7e808a680ddfd4567e3a480823ee46a

30 Julai, 2025

Asasi za kiraia Tanzania zatakiwa kuzingatia sheria: Tume ya Uchaguzi

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi amesisitiza kuwa katika kipindi cha uchaguzi Tume itafanya kazi kwa karibu na taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura.

d62a85f647b324c060da5c7ad1fea7789e9dd5263b7bcdec077d8ca7881bd135

30 Julai, 2025

Umoja wa Afrika unasema hautambui serikali ya kando ya Sudan

Umoja wa Afrika unazitaka nchi zote wanachama na jumuiya ya kimataifa kukataa kugawanyika kwa Sudan na kutoitambua serikali mpya iliyojitangaza.

1753860707313 vqoh5c 8f49189161cf82c883a55d7818aa3f5905997b043dd67e34a908cd519ce15770

30 Julai, 2025

Mawaziri waidhinisha ubinafsishwaji wa kampuni ya usambazaji mafuta Kenya – KPC

Miongoni mwa makampuni yanayomilikiwa na serikali KPC imedumisha faida kubwa lakini inasalia kutatizwa na uzembe katika urasimu.

0cc9f8fb0e91bb1d0238813e0a0b03a652963310b7f29c3380d2be595f40bdc3

30 Julai, 2025

Rais wa Kenya asaini sheria mbili mpya zitakazosaidia kudhibiti rushwa

Mswada wa Ulinzi wa Jamii, 2025, na Mswada wa Mgongano wa Maslahi, 2025 zinatarajiwa kunaleta enzi mpya ya uwajibikaji na uwazi katika utumishi wa umma

9151738aabd8c539a16b787405cf51bbc57034e1b7dee1d3c319ac1b2cb07b3b

30 Julai, 2025

Watu kadhaa waliuawa baada ya askari wa Uganda, Sudani Kusini kupigana karibu na mpaka

Jeshi la Uganda limepigana na majeshi ya silaha nchini Kusini mwa Sudan, na kusababisha vifo na majeraha, ofisiali wa jeshi wakasema Jumanne.

2025 06 13t070630z 1 lynxmpel5c0aw rtroptp 3 southsudan aid fogbow 1 main
Inapakia...