Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Leo XIV, ametangaza mpango wa ziara rasmi katika mataifa manne ya Afrika: Cameroon, Angola, Algeria na Guinea ya Ikweta. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kidini, kuhimiza amani na kuzungumzia masuala ya kijamii na maendeleo.
Ziara hiyo pia inatarajiwa kukutana na viongozi wa kitaifa na waumini wa Kanisa Katoliki katika kila nchi.
Chanzo: TRT Afrika














