Bunge la Ulaya kujadili swala la Lissu

Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) linatarajiwa kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei 2025 kujadili hali ya kisiasa nchini Tanzania.
6 Mei, 2025
Tanzania: Chama cha CHADEMA chahoji alipo Mwenyekiti wake Tundu Lissu

Lissu anashikiliwa katika gereza la Keko kwa tuhuma za Uhaini zinazomkabili.
21 Aprili, 2025
Tanzania: Chama cha ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

Kulingana na kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu, kufanya hivyo itakuwa ni sawa na kuwapa chama tawala cha CCM nafasi ya ushindi.
21 Aprili, 2025
Rigathi Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini

Gachagua alipoteza baadhi ya ulinzi wake baada ya kuondolewa madarakani kama Naibu rais wa nchi hiyo kupitia kura ya kutokuwa na imani naye iliyopigwa Oktoba 8, 2024.
21 Aprili, 2025
Inapakia...