Afrika Kusini Yagundua Maelfu ya Wafanyakazi Hewa Serikalini

Ukaguzi wa mishahara umebaini zaidi ya wafanyakazi hewa 4,000, hatua inayolenga kupunguza ufisadi na matumizi ya serikali.
26 Februari, 2026
Katibu Mkuu wa NDC Akamatwa Zambia kwa Tuhuma za Picha ya Rais Iliyohaririwa

Polisi Zambia waanzisha uchunguzi baada ya picha ya mtandaoni kudaiwa kusababisha taharuki.
25 Februari, 2026
Mexico yatangaza uratibu baada ya kuuawa kwa kiongozi wa CJNG

Claudia Sheinbaum asema serikali za majimbo na shirikisho zinashirikiana kudhibiti hali ya usalama.
23 Februari, 2026
Mbunge wa upinzani Uganda akamatwa kwa tuhuma za vurugu za uchaguzi

“Kukamatwa kwake kunahusiana na matukio ya vurugu za kisiasa.” — Polisi wa Uganda
22 Januari, 2026

Bobi Wine: Si kosa kupinga utawala wa Museveni

Mfalme Mohammed VI ajiunga na “Baraza la Amani” lililoanzishwa na Trump kama mwanachama mwanzilishi

Afya ya Besigye yazua wasiwasi, chama chake chataka hatua za haraka

Bobi Wine Achukuliwa na Jeshi Baada ya Uchaguzi Uliozua Utata

Museveni aongoza kwa kura, Bobi Wine azuiliwa nyumbani
29 Desemba, 2025
Uchaguzi wa Guinea: Doumbouya akielekea kuthibitishwa rais wa kiraia
Kipaumbele chetu ni kurejesha hali ya kawaida na utulivu nchini Guinea.

27 Desemba, 2025
Nchi za Kanda Zasimama na Somalia Kufuatia Israel Kutambua Somaliland
Somalia ni taifa huru lenye mamlaka kamili, na mipaka yake inapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

15 Desemba, 2025
Bobi Wine alishtumu jeshi la Uganda kwa kuwazuia raia kinyume cha sheria
Jeshi halina mamlaka ya kuwashikilia raia; hiki ni kitendo cha wazi cha ukiukwaji wa sheria.

12 Desemba, 2025
Eritrea yajiondoa IGAD kwa mara ya pili, yakosoa kukosa dira kwa jumuiya hiyo
Jumuiya imepoteza dira na imeshindwa kuwakilisha matarajio ya wananchi wa kanda.

8 Desemba, 2025
“Uganda Sio Nchi ya Kuchezewa” – Museveni
Atoa onyo kali kwa wapinzani wakati wa mkutano wa NRM Lango.

8 Desemba, 2025
Kiongozi wa Upinzani Uganda Alaani Mashambulizi ya Maafisa wa Usalama
Bobi Wine adai kupigwa pamoja na wafuasi wake wakati wa kampeni, huku Umoja wa Mataifa ukionya kuhusu ukandamizaji unaoongezeka.

8 Desemba, 2025
Congo Yaituhumu Rwanda na M23 kwa Mashambulizi ya Mizinga, Kigali Yakanusha
DRC yasema mabomu yalirushwa kutoka Rwanda wakati makubaliano ya amani yakisainiwa Washington; Rwanda yaita madai hayo “kijinga.”

4 Desemba, 2025
Trump Kuandaa Utiaji Saini wa Amani kati ya DR Congo na Rwanda
“Majaribio ya kusabotisha mchakato wa amani yanaendelea,” jeshi la DR Congo limesema likiwatuhumu waasi wa M23.

4 Desemba, 2025
Afrika Kusini Yapisha G20 Wakati wa Uongozi wa Trump
“Kwa sasa tunachukua ‘commercial break’ hadi mambo yarudi kawaida,” – Vincent Magwenya

4 Desemba, 2025
Wajumbe wa Ukraine na Marekani wakutana Florida kujadili mpango wa amani baada ya Moscow
“Urusi inapaswa kukomesha umwagaji damu na kushirikiana kwa dhati katika mazungumzo ya amani.” — Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Andrii Sybhia



