Chama cha soka cha Palestina chaituhumu FIFA kwa kushindwa kuiadhibu Israel

Chama hicho, kimeikosoa FIFA kwa kuendelea kukaa kimya na kutochukua hatua dhidi ya vitendo vya Israel dhidi ya Palestina.
4 Agosti, 2026
Trump aitaka Iran ichague kati ya makubaliano na kujislamisha

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kauli hiyo baada ya Iran kusema kuwa hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea kati yake na Marekani.
3 Agosti, 2026
Australia yathibitisha vifo vya ndege vinavyotokana na mafua H5

Mamia ya ndege mwitu wamepatikana wamekufa katika pwani ya Kusini mwa Australia huku seerikali ikitahadharisha uwezekano wa vifo zaidi. Hakuna maambikizi kwa kuku.
3 Agosti, 2026
Iran: Hatuna mazungumzo yoyote na Marekani

Iran imekuwa na udhibiti wa njia hiyo toka kuanza kwa vita vya Mashariki ya Kati, Februari 28.
3 Agosti, 2026

Mashambulizi ya Israel yaua Wapalestina 12, wakiwemo watoto wawili, huko Gaza

Iran inachukulia kila tishio kutoka kwa wapinzani kuwa “halisi na la kuaminika” : Kaimu Waziri

Trump asitisha shambulio lililopangwa dhidi ya Iran

Hamas yakubali kusalimisha silaha nzito katika ‘uamuzi mgumu’ kama sehemu ya makubaliano

Gwiji wa soka wa Italia Franco Baresi afariki dunia
31 Julai, 2026
Taifa la Nauru labadilisha jina, sasa kuitwa Naoero
Uamuzi wa kubadili jina la taifa hilo, ulifikiwa mwezi Januari, kupitia muswada maalumu wa mabadiliko ya katiba ya nchi hiyo.

30 Julai, 2026
China yakana taarifa za kusafirisha vifaa vya kurusha makombora Iran
China imekanusha madai ya kuwa na mpango wa kusafirisha virusha makombora vinavyobebwa begani huku Pakistan ikikana kuhusika kwa namna yoyote katika mpango wa kusafirisha vifaa hivyo hadi Iran.

30 Julai, 2026
Marekani yaanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya Iran
Jeshi la Marekani limesema mashambulizi hayo, ambayo ni ya kwanza baada ya kusitishwa kwa mashambulizi kwa siku kadhaa, yalikuwa “jibu kali” kwa kile ilichodai kuwa ni jaribio la Iran kushambulia wanajeshi wa Marekani waliyoko Mashariki ya Kati.

28 Julai, 2026
Watu wasiojulikana waharibu kituo cha hija ya Wakatoliki nchini Bosnia
Kamera za usalama, zilimuonesha mtu mmoja akiiwasha altare ya kituo hicho cha hija moto, karibu na Kanisa la Mtakatifu Yakobo.

28 Julai, 2026
Zelenskyy awasili Marekani, kukutana na Trump
Kupitia taarifa yake iliyowekwa kwenye ukurasa wa X, Zelenskyy alisema kuwa atakutana na Trump.

27 Julai, 2026
Iran yazishutumu baadhi ya nchi kwa kushirikiana na Marekani kuishambulia
Iran imezituhumu baadhi ya nchi za kanda kwa kuunga mkono mashambulizi ya Marekani dhidi yake, ikisema kuwa mazungumzo yoyote yatategemea mabadiliko ya mwenendo wa Marekani.

27 Julai, 2026
Iran imesema meli sita vimejaribu kuvuka Mlango Bahari wa Hormuz kinyume na utaratibu
Iran imesema meli hizo zilizima mfumo wamasiliano, huku meli tano zikielekezwa upande wa Ghuba.

26 Julai, 2026
Uganda yamteua Balozi Olara Otunnu kuwania nafasi ya Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa
Mpaka sasa, Otunnu atakuwa ni mgombea wa pili kutoka Afrika, baada ya rais wa zamani wa Senegal Macky Sall nae kuingia katika kinyang’anyiro hicho.

24 Julai, 2026
Venezuela yapanga kujiondoa ICC
Licha ya kujiondoa ICC, waendesha mashitaka wa mahakama hiyo, wamesisitiza kuwa, kesi za uhalifu wa kibinadamu zilizofunguliwa mwaka 2021, bado zitaendelea.

24 Julai, 2026
Marekani yatadhaharisha raia wake na uwezekano wa kushambuliwa Iraq
Ubalozi huo umewataka raia wa Marekani waliopo Iraq, kufuatilia vyombo vya habari wakati wote, kujiandaa kwa lolote na kufuata maelekezo kutoka mamlaka za Iraq.



