Ajenda Siasa Ulimwengu

Lionel Jospin afariki dunia akiwa na miaka 88

Kiongozi huyo anakumbukwa kwa sera ya saa 35 za kazi kwa wiki.

Newstimehub

Newstimehub

23 Mechi, 2026

572

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa, Lionel Jospin, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, kwa mujibu wa familia yake.

Jospin aliwahi kuiongoza serikali kati ya mwaka 1997 hadi 2002, na alijulikana sana kwa mageuzi yake ya kijamii, hasa sera ya kupunguza muda wa kazi hadi saa 35 kwa wiki.

Baadaye aligombea urais mwaka 2002 lakini akashindwa na Jacques Chirac.

CHANZO: TRT Afrika