14 Julai, 2025

Muhammadu Buhari: Rais wa zamani wa Nigeria afariki dunia akiwa na umri wa miaka 82

Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari amefariki dunia katika hospitali moja mjini London, Uingereza akiwa na umri wa miaka 82, msaidizi wake wa zamani wa vyombo vya habari vya kidijitali Bashir Ahmad alisema Jumapili.

378846a9fd7c79ba8ae6725c7230a1e9b61270030a81240eef48f09d3208d146

13 Julai, 2025

Balozi wa Tanzania nchini Cuba ajiuzulu akilalamikia kufifia maadili katika serikali ya awamu ya 5

Balozi Humphrey Hesron Polepole pia alilalamikia kutovuka kwa maadili na sera za chama tawala CCM akiashiria hususan mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama uliomalizika hivi karibuni.

d1029dbc901f386357fd53f5680e7552e0ee30efb39bbb5e66f6f0e05ff3204a main 1

12 Julai, 2025

Umoja wa Mataifa umesitisha msaada wa chakula Afrika Magharibi na Kati kutokana na uhaba wa ufadhili

WFP inasema inahitaji dola milioni 494 kugharamia nusu ya pili ya 2025, lakini fedha hizo zimepungua kabisa, na hivyo kulazimika kuyapa kipaumbele makundi yaliyo hatarini zaidi.

439d3c5ff94f21348286c2a55f90f9d8107b76bfec0cf0ddcc943dea79f1503b

12 Julai, 2025

Boeing yamfidia mwanamume ambaye familia yake ilikufa katika ajali ya Ethiopian Airlines

Familia ya Paul Njoroge ilikuwa ikielekea Kenya Machi 2019 kwa kutumia ndege ya Ethiopian Airlines Flight 302 ilipopata hitilafu na kudondoka chini.

08221cab58fc3997ad9d88157c36242fb0a891b77977604995d861dfb3c21dc3

12 Julai, 2025

Ugiriki yapitisha marufuku ya kuwapa hifadhi wakimbizi kutoka Afrika kupitia ufuo wa Libya

Inaashiria ugumu zaidi wa msimamo wa Ugiriki dhidi ya wahamiaji chini ya serikali ya mrengo wa kulia ya Waziri Mkuu Kyriakos Mitsotakis, ambayo imejenga uzio kwenye mipaka yake ya kaskazini mwa nchi kavu.

b6474c073e8da56797564c943ec9cffac2a5322951eb303a08a1d3a15af87891

12 Julai, 2025

Zambia inawataka raia walio ng’ambo bila viza halali kurejea nyumbani

Taifa hilo la Kusini mwa Afrika ni miongoni mwa nchi 36 ambazo utawala wa Trump unapanga kuongeza marufuku ya kusafiri

bb04ea6375cc4eaf24bae8d748ff3dc2b781a731bf2ce1f84d34b463c3290d08

11 Julai, 2025

Biya atangaza uchaguzi wa urais Cameroon kufanyika Oktoba

Rais Paul Biya, kiongozi wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi duniani akiwa na miaka 92, hajasema kama ana nia ya kugombea kwa muhula mwingine.

5a9fcbe5411a3e593251992e3958417ee14c109b25fe60727a025bbc8339dd4a

11 Julai, 2025

Uganda yafungua tena mpaka wake na mashariki mwa DRC kunakodhibitiwa na waasi

Mpaka huo ulifungwa mwishoni mwa mwezi Januari baada ya waasi wa M23 kuchukuwa udhibiti wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa DRC wa Kivu ya Kaskazini.

8c6f6b102f3fa1c0efac26aa189abd817abe92425a88dd898e0a110e7b7eca49

11 Julai, 2025

Nigeria yakataa ‘shinikizo’ la Marekani kukubali wahamiaji wa Venezuela

Trump amekuwa akitaka wahamiaji waondolewe kwa haraka, ikiwemo kuwapeleka katika mataifa ya tatu.

4ed7635a7ebd6bdeafc915eba9555389b5ee61defc578a5d1fb6244707f46b6c

11 Julai, 2025

Kenya: Mwenyekiti na Makamishna wa tume ya IEBC waapishwa rasmi

Tume hiyo inajiandaa na kuiongoza nchi hiyo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2027.

cf06e27e83c72a6e220e727e057416302645d6aab2537f14c7c3eb47c339734a
Inapakia...