3 Juni, 2025

Modibo Sacko wa Mali amechaguliwa kuwa rais mpya wa Mahakama ya Afrika

Jaji Modibo Sacko wa Mali amechaguliwa kuwa rais mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR).

f869b88498e22b991f5fd17e93ef315cef56349b77a6fa58f0c9b154ac27f4b5

3 Juni, 2025

Wanaastronomia wanahofia athari ya Starlink kwenye uchunguzi wa darubini kubwa ya Afrika Kusini

Afrika Kusini ilisema itapitia sheria zake za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano lakini haitarudi nyuma kwenye sera za serikali za kubadilisha uchumi miongo mitatu baada ya utawala wa wazungu wachache kumalizika.

9f2b437b18c89056f6a8dde8a705cdc423a8a762efb0731ee8e0e3221eccb1f7

2 Juni, 2025

Jeshi la Mali linasema limetibua shambulio katika kambi ya jeshi, ‘kuwakata makali’ magaidi 13

‘Jaribio la wapiganaji magaidi’ kutaka kuingia katika kambi ya jeshi ya Timbuktu lilitibuliwa, na hali sasa imetulia na ‘imedhibitiwa,’ Jeshi la Mali lilisema

30bcf7b4219c7a5b7081e71afe0f6883de90e2fef5b7c97e22521ebd110c6a6a

2 Juni, 2025

Magaidi waua zaidi ya wanajeshi 30 Mali

Taarifa zinasema baada ya mauaji ya wanajeshi kadhaa katika eneo la Boulkessi katikati mwa Mali siku ya Jumapili, magaidi walifanya mashambulizi mengine Timbuktu Jumatatu.

f77eaae82f5c8ea6b429c47df4059b24c878c842616599657754c2125bc012e8

2 Juni, 2025

Uganda: Mahujaji wa Namugongo

Namugongo nchini Uganda ina mojawapo ya maeneo makubwa zaidi ya Hija ya Kikristo barani Afrika kwa ajili ya kuwakumbuka Waanglikana 23 na wengine 22 wa Kikatoliki ambao waliuawa kati ya 1885 na 1887 kwa amri ya mfalme wa Buganda, Kabaka Mwanga II.

987c59b6d6bdc91e35d16ec18558c98ac0b4a1f0862991f19b2206d9292149ce

2 Juni, 2025

Rwanda yakabiliwa na changamoto ya ongezeko la uhalifu kwa watoto

Machi 2025, wanaharakati nchini Rwanda walitoa wito wa kuchukua hatua kali zaidi za serikali ili kuongeza msaada wa kisheria kwa watoto wanaotuhumiwa kwa uhalifu, wakihimiza marekebisho ya haraka ili kuboresha mchakato wa mahakama kwa watoto wadogo.

1748865533278 3q58w aa87381029e373a987473559ed8e7f3dac31e7c61635b99341bde2035a722053

2 Juni, 2025

Kanisa Katoliki limefunga vituo vyake Kerio Valley baada ya ukosefu wa usalama

Katika taarifa kutoka kwa Watawa Wamishenari Wabenediktini, kanisa linasema limelazimika kufunga shughuli katika mkoa huo ambao umegeuka kuwa bonde la kifo.

bda5e197816ae1c1222cd81e802fc260a153b7ec20640eb2ead83234acccef35

2 Juni, 2025

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) kuwachagua viongozi wapya

Rais wa sasa anayeondoka ni Lady Justice Imani Daud Aboud, raia wa Tanzania.

c0d58113a300b45eb1ac4fc0cea46486780ddf646d25bd87c3cd82a28decc346

2 Juni, 2025

Kiongozi wa Chadema Tanzania, Tundu Lissu arudishwa mahakamani

Tundu Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema akabiliwa na kesi kadhaa ikiwemo ya uhaini.

69ab538d349311b8665d9dad633f4980d429d96386f525c4d4585c1c633a68ac

2 Juni, 2025

Waziri Mkuu mpya wa Sudan, Kamil avunja serikali ya muda

Hoja ya Kamil Idris inalenga kufungua njia kwa Baraza jipya la Mawaziri huku kukiwa na vita vinavyoendelea na ukosefu wa utulivu wa kisiasa.

5f373a84ac27ad915ccdeff20b14a88b4f0e50035fed5129aea26b95aeec0e4c
Inapakia...