7 Mei, 2025

Jela kwa wasafirishaji wa siafu Kenya

Miongoni mwa wanne hao kuna raia wawili wa Ubelgiji ambao walipatikana na hatia kwa kujaribu kusafirisha siafu hao adimu nje ya nchi.

2025 05 07t100041z 1694514581 rc2vcea8aq7b rtrmadp 3 kenya ants

7 Mei, 2025

Rwanda kuongeza wakunga 5000

Wizara ya afya inasema kuna wakunga 2,236 pekee waliosajiliwa na kupewa leseni koite nchini kufikia Machi mwaka huu.

africa usaid malaria 78705

6 Mei, 2025

DRC na waasi wa M23 waanza tena mazungumzo ya amani mjini Doha

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameanza tena mazungumzo ya amani nchini Qatar, vyanzo vya habari vililiambia shirika la Reuters Jumanne.

m23

6 Mei, 2025

Wanajeshi watatu wa Rwanda wauawa nchini Msumbiji

Mashambulizi nchini Msumbiji yamesababisha kuuawa kwa wanajeshi watatu wa Rwanda na kuwajeruhi wengine sita, msemaji wa jeshi la Rwanda alisema siku ya Jumanne.

2025 04 04t092137z 1 lynxnpel330gz rtroptp 3 congo security rwanda

6 Mei, 2025

Sudan yasitisha uhusiano wa kidiplomasia na UAE

Sudan imeitaja UAE kama ‘taifa la uchokozi,’ huku taifa hilo la Ghuba likikanusha madai ya kuwaunga mkono wapiganaji wa RSF

burhan

6 Mei, 2025

Tanzania yatishia kufuta leseni za uchimbaji madini kwa waliokiuka masharti

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini yatoa hati za makosa kwa makampuni 95 ya uchimbaji madini yaliyokiuka masharti ya Leseni.

img 20250506 wa0007

6 Mei, 2025

Wakuu wa Majeshi ya Afrika waanza ziara rasmi ya siku 10 China

Karibu maafisa 100 wa majeshi kutoka zaidi ya nchi 40, ikiwemo Misri, Msumbiji, Tanzania, na Kenya wanafanya ziara China hadi 15 Mei

china 20africa 20jeshi

6 Mei, 2025

Mahakama ya UN yakataa kujihusisha na jaji wa Uganda aliyefungwa Uingereza

Mahakama ya Uingereza imesema kama wakili aliyehitimu, jaji wa Mahakama Kuu ya Uganda na jaji wa Mahakama ya Uhalifu ya Umoja wa Mataifa, Lydia Mugambe alielewa sheria na akachagua kuzipuuza.

judge lydia mugambe ssali

6 Mei, 2025

Mfululizo wa mashambulizi ya RSF Port Sudan

Vikosi vya Rapid Support Forces, RSF, vinalenga bandari, uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi katika mji wa Port Sudan katika mashambulio ya hivi punde ya ndege zisizo na rubani.

aa 37856515

6 Mei, 2025

Rais wa Kenya apokea majina ya maafisa walioteuliwa katika Tume Huru ya Uchaguzi

Mwaka 2024 Rais Ruto alishutumiwa na wananchi na wachambuzi wa kisiasa kwa kuchelewa kuunda Tume ya Uchaguzi.

iebc 20report
Inapakia...