25 Aprili, 2025

Rais wa Afrika Kusini Ramaphosa kukutana na Trump ‘karibuni’ kusuluhisha matatizo yao

Viongozi hao wawili watajadili kuhusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili baada ya serikali ya Trump kusitisha misaada ya fedha kwa Afrika Kusini na kumtimua balozi wao.

trump 20rama

25 Aprili, 2025

Magaidi wa al-shabaab wavamia kambi ya jeshi Somalia, watu kadhaa wauawa

Kundi lenye ushirikiano na al-Qaeda limedai kuvamia kambi ya Wargaadhi, lakini Wizara ya Ulinzi ya Somalia inakanusha hilo na kusema kuwa bado kambi hiyo iko chini ya udhibiti wa jeshi la taifa

somalia

25 Aprili, 2025

Jeshi la Sudan lasema limewaua wapiganaji 60 wa RSF Darfur Kaskazini

Tangu Mei 2024 kumekuwa na mapigano makali El-Fasher kati ya jeshi la Sudan na RSF

1745499118161 3qdw45 sudan 20wakimbizi 20

24 Aprili, 2025

Rais wa Ukraine kukatisha ziara yake ya Afrika Kusini

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema amelazimika kukatisha sehemu ya ratiba yake nchini Afrika Kusini baada ya shambulizi la Urusi katika mji mkuu wa Kyiv.

south africa ukraini zelenskyy 75251

24 Aprili, 2025

Rwanda yazindua mikakati mipya ya kuthibiti malaria

Mbinu mpya inahusisha kupima familia yote baada ya mtu mmoja kugundulika kuwa na ugonjwa wa malaria ili kutambua na kutibu wengine ambao wanaweza kuambukizwa lakini bado hawana dalili.

2024 12 11t080201z 2126097288 rc2kr5ayehpp rtrmadp 3 health malaria who

24 Aprili, 2025

Mahakama ya Senegal yazuia ombi la serikali la kufuta sheria ya msamaha kwa ‘wahalifu’

Baraza la Katiba la Senegal lilitangaza sheria mpya ya msamaha kuwa kinyume na katiba, na hivyo kuzua mvutano mpya wa kisiasa kati ya wapinzani.

senegal

24 Aprili, 2025

Serikali ya DRC, M23 wakubali kufanya mazungumzo

Taarifa iliyotolewa katika mazungumzo imethibitisha kwamba pande zote mbili zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja.

1743773166939 nhqpo gettyimages 2200503809 20 1

24 Aprili, 2025

Waliojaribu kutorosha siafu kupitia JKIAkuhukumiwa mwezi ujao

Washukiwa hao wanne wamekiri makosa yao wiki iliyopita baada ya mamlaka kuwakamata wakiwa na siafu 5,000.

ants

24 Aprili, 2025

Djibouti yawapa wahamiaji haramu wiki moja kuondoka au wawaondowe kwa lazima

Raia wengi wa kigeni wanapitia nchi hiyo kwa lengo la kuanza safari ya hatari kupitia Bahari ya Shamu kwa kutumia maboti yaliyojaa kupitiliza.

djibouti

23 Aprili, 2025

Wafugaji wenye silaha wawaua watu 11 katika mashambulizi mengine Nigeria

Kumekuwepo na ongezeko la mapigano katika eneo hilo katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita kati ya wakulima na wafugaji

2011 08 11t120000z 506206916 gm1e78b1i8101 rtrmadp 3 nigeria
Inapakia...