Mashambulizi ya Ukraine yanaathiri uchumi wa Urusi, lakini pia “unaimarika kwa haraka”: Putin

Rais wa Urusi amesema kuwa vikosi vyake havisongi mbele nchini Ukraine “kwa kasi tunayotarajia.”
12 Juni, 2026
Mauritania yawaokoa wahamiaji 500 ndani ya siku 10 huku wengi zaidi wakijaribu kuvuka

Wahamiaji haramu kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wanajaribu safari hiyo hatari kupitia visiwa vya Hispania vya Canary.
12 Juni, 2026
Misri yatoa wito kwa Marekani, Iran ‘kwa fursa’ ya makubaliano baada ya Trump kusitisha mashambulizi

Rais Donald Trump ametangaza “makubaliano muhimu” ya kumaliza vita Marekani na Israel dhidi ya Iran.
12 Juni, 2026
“Makubaliano makubwa” yamefikiwa na Iran: Trump

Rais Trump amesema makubaliano ya kusitishwa kwa mapigano yatafikiwa hivi karibuni.
12 Juni, 2026

Raia 262 wa Nigeria wanaokimbia mashambulizi dhidi ya wageni Afrika Kusini warudishwa nyumbani

Mabadiliko ya uchumi Nigeria, Uganda na nchi nyengine za Afrika yamekuza uwekezaji: Benki Kuu

Serikali ya Somalia yasikitishwa na hatua ya kuzuiwa kwa mwamuzi wa nchi hio kuingia Marekani

Watu wasiopungua 12 wauawa katika mashambulizi ya risasi jijini Johannesburg

Refa wa Somalia arudi nyumbani baada ya kukataliwa kuingia Marekani
9 Juni, 2026
Trump: Helikopta ya Jeshi la Marekani imedunguliwa na Iran, tutalipiza kisasi
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa marubani wako salama baada ya helikopta ya Marekani kudunguliwa na Iran karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz.

9 Juni, 2026
Wakazi wa Afrika Kusini KwaZulu-Natal katika tahadhari baada ya simba kutoroka hifadhi ya wanyama
Onyo hilo linakuja wakati mamlaka ya wanyamapori huko Mpumalanga hivi majuzi ilihitimisha operesheni nyingine inayohusisha simba watoro.

9 Juni, 2026
FIFA yamuondoa mwamuzi kutoka somalia Artan katika Kombe la Dunia baada ya kuzuiwa kuingia Marekani
FIFA imesema haina uwezo wa kushawishi Omar Artan kuruhusiwa kuingia nchini Marekani, na kusema uamuzi huo unabaki kwa Marekani ambayo ni nchi mwenyeji.

9 Juni, 2026
Waandamanaji wanaopinga kujengwa kwa kituo cha Marekani cha Ebola wakamatwa nchini Kenya
Ujenzi wa kituo cha Ebola ulizuiwa kwa muda na Mahakama ya Juu nchini Kenya na pia umekuwa ukipingwa na wanasiasa wa nchi hiyo.

9 Juni, 2026
Mwendesha Mashtala wa ICC asimamishwa kazi kwa madai ya dhulma za ngono
Karim Khan atafikishwa kwa kamati ya nidhamu ambayo inawakilishwa na mataifa wanachama 125, kulingana na ICC.

8 Juni, 2026
Mahakama Kuu ya Kenya: Mchakato wa kumuondoa Gachagua madarakani ulifuata Sheria
Mahakama Kuu ya Kenya imeidhinisha kuondolewa madarakani kwa Gachagua, pamoja na kuamuru kulipwa fidia ya shilingi milioni 50 za Kenya kwa ukiukwaji wa haki zake.

8 Juni, 2026
Mwamuzi wa kwanza wa Somalia aliyetarajiwa kuchezesha Kombe la Dunia azuiwa kuingia Marekani
Mwamuzi wa Soka Omar Artan alipewa tuzo ya mwamuzi bora zaidi Afrika 2025.

8 Juni, 2026
Uhamiaji: Afrika Kusini kuhamisha vituo vya wakimbizi hadi maeneo ya mpakani
Rais Cyril Ramaphosa anasema Afrika Kusini haiwezi kukabiliana na changamoto za uhamiaji peke yake, na ametoa wito wa ushirikiano zaidi katika bara zima.

8 Juni, 2026
Mauritius yakataa pendekezo lililoripotiwa la Marekani la kununua Visiwa vya Chagos
Mauritius inasisitiza kuwa mamlaka yake juu ya Visiwa vya Chagos haiwezi kujadiliwa.

8 Juni, 2026
Wananchi waelimishwe kuhusu umuhimu wa kuandikishana mikataba ya ardhi-Wazri Mkuu wa Tanzania
Ushauri huo umetolewa kufuatia kuongezeka kwa wimbi la migogoro katika sekta ya ardhi.



