Tanzania yafafanua kuhusu kura ya Bunge la Umoja wa Ulaya

Hatua hii inafuatia kuwepo kwa malalamiko kutoka kamati za haki za binadamu za EU kuhusu hali ya kisiasa nchini Tanzania, hasa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
4 Juni, 2026
Marekani yawawekea vikwazo wanaodaiwa kuwa makamanda wa waasi DRC

Marekani imewawekea vikwazo wale wanaodaiwa kuwa viongozi wa kijasusi wa makundi mawili ya waasi DRC, ambako vita vimekuwa vikiendelea mashariki mwa nchi.
3 Juni, 2026
Watu wasiopungua 14 wauawa Sudan Kusini katika tukio la wizi wa ng’ombe

Watu wasiopungua 14 wameuawa, ikiwemo watoto sita, katika tukio la wizi wa ng’ombe kaskazini mwa Sudan Kusini, afisa wa eneo hilo alisema siku ya Jumatano.
3 Juni, 2026
Nigeria yawapata magaidi wanne na hatia kwa mauaji ya kanisani mwaka 2022

Jaji nchini Nigeria amewapata na hatia wanaume wanne katika kesi ya ugaidi kuhusu mauaji katika kanisa 2022.
3 Juni, 2026

Matajiri wa kupindukia na mzigo wa umaskini barani Afrika

Rais wa Tanzania atarajiwa kufanya mazungumzo na Rais Putin katika ziara ya kihistoria ya Urusi

Uwanja wa ndege wa DRC katika eneo lilokumbwa na mlipuko wa Ebola wafunguliwa tena

Ghana yaonya raia wake kutosafiri Afrika Kusini kama hakuna ulazima

Wanafunzi tisa wafikishwa mahakamani Kenya kwa madai ya kuchoma moto shule
2 Juni, 2026
Serikali ya Tanzania inataka utatuzi wa haraka wa kero za watumishi wa umma
Amesema vitendo hivyo vinachangia kudhoofisha ufanisi wa utendaji kazi na kuongeza malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za umma, huku akisisitiza matumizi ya TEHAMA kuongeza uwazi na uwajibikaji.

2 Juni, 2026
Rais Faye wa Senegal aunda serikali mpya bila chama cha Sonko
Senegal inakabiliwa na hali ya sintofahamu ya kisiasa baada ya Rais Faye kutangaza baraza jipya la mawaziri ambalo halijajumuisha chama tawala cha PASTEF kinachoongozwa na mshirika wake wa zamani, Ousmane Sonko.

2 Juni, 2026
Mahakama Kuu Kenya yaendelea kuzuia mpango wa kujenga kituo cha Ebola
Kumekuwa na hali ya wasiwasi kufuatia hatua ya serikali ya kutaka kuweka kituo cha karantini kwa jili ya raia wa Marekan huku ikiibua maswali kuhusu afya ya umma, uwazi katika mchakato huo, pamoja na masuala ya kikatiba na mamlaka ya taifa.

1 Juni, 2026
Maambukizi ya Ebola DRC yaongezeka hadi 282, serikali imesema
Maambukizi yaliyothibitishwa ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa yamefikia 282, serikali ya taifa hilo la Afrika ya Kati ilisema siku ya Jumapili.

1 Juni, 2026
Mahakama ya usuluhishi yakataa madai ya Dola milioni 134 ya Rwanda kwa mkataba wa Uingereza
Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi imekataa ombi la Dola milioni 134 la Rwanda dhidi ya Uingereza kwa kukiuka mkataba wa wahamiaji

1 Juni, 2026
Mamia waandamana nje ya kituo cha karantini cha Ebola cha Kenya kwa raia wa Marekani
Marekani imesema inasalia na imani kwamba wasiwasi unaohusu kituo kilichopendekezwa cha kutengwa kwa waathiriwa wa Ebola unaweza kutatuliwa baada ya Mahakama Kuu ya Kenya kusimamisha kwa muda mradi huo.

1 Juni, 2026
Maombolezi yaendelea kwa wanafunzi 16 waliokufa moto shuleni Kenya huku lawama zikienea
Ajali hii ya moto, inatonesha kidonda cha ajali za moto zilizowahi kutokea shuleni huku suala kubwa likimulikwa katika usalama mzima mashuleni.

1 Juni, 2026
Wapiga kura wajitokeza kwa wingi katik uchaguzi mkuu nchini Ethiopia
Waangalizi kutoka Umoja wa Afrika (AU), wenye makao makuu yao Addis Ababa, pamoja na jumuiya ya kikanda ya Afrika Mashariki IGAD, wanafuatilia uchaguzi mkuu nchini humo.

31 Mei, 2026
Wagonjwa watano wapona Ebola nchini DRC, WHO yathibitisha
Wagonjwa watano wamepona aina adimu ya Ebola, mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni alisema Jumapili wakati wa ziara yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

31 Mei, 2026
Mkuu wa WHO ahimiza mazishi salama huku mlipuko wa Ebola DRC ukiendelea kukua
Maafisa wa afya wanasema kuongezeka kwa idadi ya maambukizi yanayoshukiwa katika eneo kunaonyesha kuongezeka juhudi za uchunguzi na upimaji badala ya kuongezeka kwa ghafla kwa maambukizo.



