Shirika la Umoja wa Mataifa linasema watu wengine 285 wameachwa bila makazi Kordofan Kusini Sudan

Ukosefu wa usalama kumefanya familia kadhaa kukimbia kutoka eneo la Kordofan Kusini
29 Januari, 2026
Afrika Kusini yapendekeza mfuko mpya wa mageuzi kusaidia biashara za Weusi

Serikali ya Afrika Kusini yapendekeza marekebisho ya B-BBEE.
29 Januari, 2026
ECOWAS yaiondolea vikwazo Guinea

Jumuiya hiyo iliiwekea Guinea vikwazo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021.
29 Januari, 2026
CAF yashusha rungu zito kwa Morocco na Senegal baada ya fujo za katika Fainali ya AFCON 2025

Kupitia Kamati yake ya Nidhamu CAF imetangaza adhabu kali dhidi ya timu za taifa za Morocco na Senegal kufuatia matukio yaliyotokea katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 uliyofanyika Januari 18, 2026.
29 Januari, 2026

Milipuko na risasi zatetemesha Niamey karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa

Misri yajitayarisha kupokea majeruhi kutoka Gaza na kusambaza misaada kupitia Rafah

Al Fasher ya Sudan yageuka mahame baada ya RSF kuchukua udhibiti

Waziri Mkuu Abiy Ahmed akutana na maafisa waandamizi wa Marekani kujadili usalama na ushirikiano

Watu wenye silaha wauwa polisi watatu Katsina, Nigeria
28 Januari, 2026
Ghana yampa uraia IShowSpeed baada ya ziara ya Afrika
Ghana yampa uraia IShowSpeed, mtengeneza maudhui maarufu wa YouTube.

28 Januari, 2026
13 wafa baada ya mgodi kuporomoka Sudan
Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu.

28 Januari, 2026
Malawi yaomba msaada wa kimataifa kupambana na mafuriko
Mafuriko nchini humo yameua watu wapatao 40, na kuwaacha wengine bila makazi

28 Januari, 2026
Rwanda yapeleka kesi dhidi ya Uingereza kwa kuvunja mkataba wa wakimbizi
Kigali yasema London imekiuka kipengele cha malipo ya kifedha.

28 Januari, 2026
AU yataka kusitishwa kwa mapigano katika jimbo la Jonglei, Sudan Kusini
Waziri wa Habari wa Sudan Kusini amekana madai kwamba serikali inawalenga raia.

27 Januari, 2026
Tinubu wa Nigeria na Erdogan wa Uturuki waimarisha ushirikiano wa usalama na biashara
Makubaliano tisa yalitiwa saini, yakiwemo mafunzo ya kijeshi na elimu ya juu.

27 Januari, 2026
Rais wa Guinea Doumbouya amthibitisha waziri mkuu mpya
Rais aliyechaguliwa nchini Guinea Mamady Doumbouya amemteua waziri mkuu kwa serikali ya taifa hilo ya Afrika Magharibi ikiwa chini ya wiki mbili tangu alipoapishwa rasmi.

27 Januari, 2026
Mashambulizi ya silaha yawaua watu 10 katika kituo cha polisi cha Niger karibu na mpaka wa Algeria
Shambulizi hilo katika kituo muhimu cha wahamiaji ni dhihirisho la shinikizo kwa mataifa ya Sahel wakati wakianzisha kikosi kipya cha kanda.

27 Januari, 2026
Njaa inayosababishwa na ukame kaskazini mashariki mwa Kenya yaua watoto na mifugo
Wakazi wa kaunti ya Mandera nchini Kenya wanahofia watoto wao kufa kutokana na njaa, wakati wakichoma mifugo iliyokufa huku vyanzo vya maji vinakauka na upatikanaji wa chakula ukiendelea kuwa tatizo.

27 Januari, 2026
Uganda yakana kuwakandamiza wapinzani huku Bobi Wine akiendelea kujificha
Waziri wa Habari wa Uganda anakiri kuwa kukamatwa kwa watu, lakini anasema hatua hizo zilihusu tu watu waliosababisha “matatizo.”


