Rais Touadera amualika Putin wa Urusi kutembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.
7 Januari, 2026
Waziri wa zamani wa sheria Nigeria Malami apewa dhamana katika kesi ya fedha zilizoibwa

Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.
7 Januari, 2026
Trump aongeza Uganda, na mataifa mengine 11 ya Afrika kwenye orodha ya dhamana ya visa ya Marekani

Marekani imeongeza mara tatu idadi ya nchi zinazotakiwa raia wake kulipa dhamana ya hadi $15,000 ili kutuma maombi ya visa.
7 Januari, 2026
Jeshi la Benin lawaua ‘magaidi’ 45 kaskazini mwa nchi

Siku ya Jumanne jeshi la Benin limesema limewaua “magaidi” 45 katika kipindi cha miezi mitatu ya operesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa Benin.
6 Januari, 2026

Nchi za Afrika zaunga mkono Venezuela baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyomlenga Maduro

Somalia yashtumu ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel Somaliland, ikiitaja kama ‘uvamizi’

Mahakama ya Tunisia yawaachilia huru wafanyikazi wa NGO waliokamatwa kwa kuwasaidia wahamiaji

Misri imepokea watalii milioni 19 mwaka 2025: Waziri

Baraza la Makanisa nchini Kenya lajitenga na mhubiri anayedai miujiza ‘Nabii Owour’
6 Januari, 2026
Rais Touadera achaguliwa tena kuwa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa Rais Faustin-Archange Touadera ameshinda muhula wa tatu wa urais baada ya kuondolewa kwa kikomo cha mihula ya uongozi.

5 Januari, 2026
Washukiwa wa Ugaidi Washambulia Mgodi wa Dhahabu Mali, Wafanyakazi Watekwa kwa Muda
Shambulio hili ni tishio la moja kwa moja kwa usalama wa taifa na uchumi wa nchi.

5 Januari, 2026
Tanzania yapiga marufuku wageni kutoa baadhi ya huduma katika sekta ya madini, kulinda wazawa
Lengo ni kupanua wigo wa ushiriki wa wazawa na kuongeza manufaa ya moja kwa moja kwa taifa.

5 Januari, 2026
Mahakama Kuu Guinea Yamuidhinisha Doumbouya Kuwa Rais Baada ya Uchaguzi wa Kihistoria
“Leo Guinea haina walioshinda wala walioshindwa; kuna taifa moja lililoungana na lisilogawanyika,” alisema Rais aliyechaguliwa Mamadi Doumbouya baada ya kuthibitishwa ushindi wake.

5 Januari, 2026
Jeshi la Sudan lazuia shambulio la droni la RSF kwenye bwawa kuu na maeneo ya kijeshi
Mamlaka ya Sudan kwa muda mrefu imekuwa ikiilaumu RSF kwa kufanya mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya miundombinu ya wananchi.

5 Januari, 2026
Rais William Ruto apendekeza adhabu ya kifo kwa wauzaji wa dawa za kulevya
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake inaandaa sheria mpya itakayotoa adhabu ya kifo kwa makosa yanayohusiana na biashara ya dawa za kulevya.

5 Januari, 2026
Tinubu Aamuru Msako Mkali Baada ya Mauaji ya Umati katika Jimbo la Niger
“Nimewaamuru viongozi wote wa usalama kuwatafuta na kuwakamata wahalifu waliohusika na mauaji ya Kasuwan Daji na kuhakikisha wanafikishwa haraka mbele ya sheria,” alisema Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu.

4 Januari, 2026
Radi yaua watu wawili na kuwajeruhi wengine 150 nchini Afrika Kusini
Radi ilipiga watu 150 waliokusanyika katika tamasha kaskazini mwa mji mkuu wa Afrika Kusini Pretoria, na kuua watu wawili, huduma za afya za mitaa zilisema Jumapili.

4 Januari, 2026
AU inaeleza ‘wasiwasi mkubwa’, Afrika Kusini inaomba mkutano wa dharura wa UN juu ya Venezuela
Umoja wa Afrika na Afrika Kusini wanasema shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela linadhoofisha sheria za kimataifa.

4 Januari, 2026
Madaktari wa Sudan wanaonya kuhusu tishio la janga la kibinadamu kusini mwa Kordofan
Mtandao wa Madaktari wa Sudan unasema kwamba mashambulizi makali ya mabomu katika mji wa Dalang yameendelea kila siku, na kuua na kujeruhi raia.


