2 Januari, 2026

Somalia kuongoza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Nafasi ya uenyekiti inayozunguka ilianza kutekelezwa tarehe 1 Januari 2026.

e88149c8e5e9309e4644251e7b8809222a64afdd71208b3b1134f83841c820dd

2 Januari, 2026

Sudan Yaanza Kurejesha Umeme Khartoum Baada ya Uharibifu Mkubwa wa Vita

Uwasilishaji wa shehena ya kwanza ya vifaa vya umeme unaashiria mwanzo wa kurejesha huduma muhimu za umeme katika mji mkuu wa Khartoum.

241

1 Januari, 2026

DRC Yaituhumu Rwanda kwa Mauaji ya Zaidi ya Raia 1,500 Mashariki mwa Nchi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema zaidi ya raia 1,500 wameuawa mashariki mwa nchi hiyo tangu mwanzoni mwa mwezi Disemba katika mashambulizi yanayohusishwa na waasi wa M23.

239

1 Januari, 2026

‘Hatutaki Israel ituletee matatizo,’ rais wa Somalia anasema

‘Kama Israel inajiweka katika maeneo ya watu kushambulia sehemu za watu wengine, basi hao watu pia watashambulia Somaliland na Somalia,’ rais wa Somalia ameonya baada ya Israel kutambua eneo lililojitenga.

050d59beeeceaa0b61dfa132aeacc118e4d9febb65b56051e6df8652d646a1ea

1 Januari, 2026

Kiongozi wa Sudan Burhan aapa ushindi dhidi ya RSF, anasema upatanishi unawezekana

Tunawahakikishia watu wetu kote kwamba ushindi unakuja,’ Abdel Fattah al-Burhan anasema

234cd8b1ed88bdc6dff34de679f4927be37ca2724a9f84369b2c2155603b7fcd

1 Januari, 2026

Bondia Anthony Joshua aruhusiwa kutoka hospitali

Imethibitishwa kwamba, afya ya bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu iko imara, kuruhusiwa kutoka hospitali na kufuatilia maendeleo ya afya yake akiwa nyumbani.

1767253015331 yvk1e ab5bcec29c59f22c1648bc1dcf31ba0d6b4a74c2cf27484bf018758fb546b7ea

1 Januari, 2026

Madagascar Yathibitisha Visa 5 vya Mpox, Hatua za Dharura Zaanzishwa Mahajanga

Serikali ya Madagascar imethibitisha visa vitano vya ugonjwa wa mpox vilivyogunduliwa katika mji wa Mahajanga kaskazini magharibi mwa nchi.

242

31 Desemba, 2025

Jeshi la Sudan lachukua udhibiti wa miji miwili kutoka RSF Kordofan Kaskazini

Jeshi la Sudan limefanikiwa kurejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh katika jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na wanamgambo wa RSF, vyanzo vya kijeshi vilisema Jumatano.

e019bc2754b272ec077ce62d72797f30ede98cb07bc2cdc96b162f94e41df79b

31 Desemba, 2025

Rais wa Somalia Aishtumu Israel: Kutambua Somaliland ni Mpango wa Kijeshi na Kuwahamisha Wapalestina

“Israel haipo katika eneo la Pembe ya Afrika kwa ajili ya amani, bali kwa maslahi ya kijeshi na mipango ya kuwahamisha Wapalestina,” amesema Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud.

245

31 Desemba, 2025

Mahakama ya Marekani Yasitisha Mpango wa Trump wa Kufuta Ulinzi kwa Wahamiaji wa Sudan Kusini

Mahakama ya Marekani imesitisha kwa muda mpango wa Rais Trump wa kuwafukuza wahamiaji wa Sudan Kusini.

232
Inapakia...