Mahakama ya Morocco yawatupa jela mashabiki 19 wa soka kwa vitendo vya kihuni

Mahakama ya Morocco imewahukumu mashabiki 19 wa soka kifungo cha mwaka mmoja jela kwa vitendo vya kihuni walivyovionesha wakati wa mchezo wa fainali ya AFCON 2025 kati ya Morocco na Senegal, ambapo walijaribu kuvamia uwanja.
20 Februari, 2026
Magaidi waua watu kadhaa katika mashambulizi vijijini Nigeria

Msemaji wa polisi anasema vijiji saba viliharibiwa katika mashambulizi hayo ya kundi la kigaidi la Lakurawa.
19 Februari, 2026
Putin akutana na kiongozi mpya wa Madagascar mjini Moscow

Rais wa Urusi Vladimir Putin amemwambia Kanali Michael Randrianirina kuwa Madagascar ni “mshirika muhimu” barani Afrika.
19 Februari, 2026
Mtu 1 auawa, wengine kadhaa wajeruhiwa katika shambulio la droni la RSF eneo la Kurmuk, Sudan

Gavana anasema ndege hizo zisizokuwa na rubani zililenga maeneo ya makazi ya watu; kundi hilo la wapiganaji halijatoa taarifa yoyote
19 Februari, 2026

Polisi wa Kimataifa wawakamata watu 651 Afrika kwa utapeli wa kutumia simu wa dola milioni $45

Watu 50 wauwawa DRC

Zaidi ya Wakenya 1,000 washiriki katika vita vya Urusi na Ukraine

UNICEF: Watoto Sudan wako katika hatari kubwa kutokana na ghasia

Guinea-Bissau yasitisha jaribio tata la chanjo ya hepatitis B
19 Februari, 2026
Rais wa Zambia afanya mabadiliko ya ghafla serikalini
Waziri wa Afya na Waziri wa Biashara Ndogo waondolewa kazini

18 Februari, 2026
Wafanyabiashara wa Ghana washambuliwa Burkina Faso, manusura warejeshwa Accra
Jeshi la Anga la Ghana lawaleta waliojeruhiwa kwa matibabu.

18 Februari, 2026
Mlipuko wa gesi katika mgodi wa waua watu 38, kujeruhi wengine kadhaa
Wakazi wanasema walioathirika walikuwa chini kwenye mgodi ambapo mlipuko ulitokea Jumatano asubuhi.

18 Februari, 2026
Gabon yatangaza kufunga mitandao ya kijamii kwa muda
Serikali ya Gabon imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii, ikisema kuwa inahusika na kuchochea migogoro na migawanyiko ndani ya jamii.

17 Februari, 2026
Nigeria yaonya raia wake dhidi ya kujisajili kupigana vita nje ya nchi
Wizara ya mambo ya nje inasema baadahi ya raia wa Nigeria walipelekwa katika uwanja wa vita baada ya kulaghaiwa kutia saini mikataba ya kijeshi.

17 Februari, 2026
Somalia kuanza kutoa hati za kusafiria za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Hatua hii ni sehemu ya kujumuisha Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

16 Februari, 2026
Waziri Mkuu wa Somalia apongeza uchimbaji mafuta wa ‘kihistoria’ baharini na Uturuki
Barre amepongeza mpango huo wa uchimbaji na Uturuki kama chachu ya ukuaji wa Somalia

16 Februari, 2026
Somalia na Tanzania yakubaliana kuhusu ziara bila viza, na kupata viza mtu anapowasili
Maafisa wanasema makubaliano hayo ya viza, pamoja na mipango ya ndege za mojakwa moja kati ya mataifa hayo mawili yataimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.

16 Februari, 2026
Wakazi wa Morocco warejea katika mji uliokumbwa na mafuriko
Mvua hizo zimemaliza hali ya miaka saba ya kiangazi.

16 Februari, 2026
RSF yashambulia hospitali Sudan, na kuwaua watu kadhaa
RSF ilifanya mashambulio katika Hospitali ya Al Mazmoum katika jimbo la kusini mashariki la Sennar state, taarifa kutoka kwa Mtandao wa Madaktari wa Sudan zimesema.



