20 Julai, 2026

ECOWAS yaunga mkono mradi wa bomba la gesi kati ya Nigeria na Morocco

Mradi huo wa bomba, ulitiwa saini muongo mmoja uliopita kati ya Mfalme wa Morocco na rais wa Nigeria.

6e01828d aa58 46a2 96a2 0219e95c4777 1784530250538

19 Julai, 2026

Uganda yamuomboleza Moses Ali ‘Simba wa Adjumani’

Amekuwa akipendwa na wafuasi wake ambao wamekuwa wakimuita “Simba wa Adjumani.”

f9cb0a4b 2f02 48ce ac04 2465a11d3e73 1784451460855

19 Julai, 2026

Tanzania, Misri ruksa raia wake kuingia Sudan Kusini bila viza

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mpya, ni nchi mbili pekee ambazo zimeongezwa katika orodha ya raia wake kuruhusiwa kuingia bila viza nchini Sudan Kusini, nazo ni Misri na Tanzania.

6c0bf780 036a 4674 8eee 9f83d12b6bdc 1784448831569

19 Julai, 2026

Tanzania yaikaribishwa Misri kuwekeza katika miundombinu ya bandari ya Bagamoyo na Dar es Salaam

Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unatarajiwa kuongeza kiwango cha uwekezaji na biashara kati ya nchi hizo mbili.

a424ec08 5c65 44bd 9f41 4b6ca5abf39e 1784445726148

18 Julai, 2026

Rais wa Misri awasili nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa

Viongozi hao pia watashiriki katika Jukwaa la Biashara la Tanzania na Misri, litakalowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchi hizo mbili, kwa lengo la kujadili fursa za biashara na uwekezaji.

f707db0a 4666 4e81 8f45 8e1a91a2a399 1784375891155

18 Julai, 2026

Wanajeshi wa Afrika Kusini wafariki wakikabiliana na wachimba madini haramu

Vifo hivi ni vya kwanza tangu Rais Ramaphosa alipopeleka wanajeshi kukabiliana na uchimbaji madini haramu.

fb6f0ff3 35d5 415b b64d 59fa43b29d54 1780073850932

17 Julai, 2026

Raia wa Marekani wawekwa karantini katika kituo cha Ebola nchini Kenya licha ya zuio la mahakama

Kenya haijawahi kurekodi maambukizi yoyote ya Ebola, huku raia wengi wa nchi hio wakiandamana kupinga kuingizwa nchini humo watu wanaoweza kuwa na virusi vya ugonjwa huo unaoenea kwa kasi.

cb7f937d afe8 4308 851e 9a44bdc8dcf7 1784318379624

17 Julai, 2026

Traoré wa Burkina Faso aonya dhidi ya kulinganishwa na Thomas Sankara

Kapteni Ibrahim Traoré amesema si sahihi kumlinganisha na aliyekuwa rais wa Burkina Faso, Thomas Sankara, akieleza kuwa mazingira ya kisiasa na kijamii ya sasa ni tofauti kabisa na yale ya miaka ya 1980.

55eab294 1b19 4125 bf1a c5ac5b0173cb 1784305833385

17 Julai, 2026

Mzee wa miaka 90 aweka rekodi ya kukwea kilele cha Mlima Kilimanjaro

Katika tukio hilo Dkt. Ulene alikata keki akiwa amezungukwa na waongoza watalii, wapagazi, na wapandaji wenzake huku wakimpongeza kwa ujasiri, wakimtakia afya njema na kumpongeza kwa azma yake ya kutimiza ndoto hiyo katika umri wa miaka 90.

fc26cf99 b3a2 4222 8a53 8c62c677370f 1784284580284

17 Julai, 2026

Tanzania: Uwanja wa ndege wa Arusha kutoa huduma saa 24

Uwanja wa ndege wa Arusha miongoni mwa viwanja muhimu vinavyohudumia sekta ya utalii nchini humo, na ni lango kuu kwa wasafiri wanaoelekea Hifadhi za Taifa za Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Ziwa Manyara na Mlima Kilimanjaro.

32cd88cf 3c18 4315 8a52 a64f1758f588 1784281466232
Inapakia...