25 Septemba, 2025

DRC na Rwanda wamekubaliana kuanza kutekeleza hatua za kiusalama mwezi wa Oktoba

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wamekubaliana kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyosimamiwa na Marekani mwezi ujao, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa Jumatano.

1758787347650 8rfem 2a4b9f321827c3a2ea243e048ffb6d2de9c68832c206a3863f2d6dc82c414d81

24 Septemba, 2025

Tume ya Uchaguzi Malawi yamtangaza Peter Mutharika mshindi wa uchaguzi wa Septemba 16

Aliyekuwa Rais wa Malawi Peter Mutharika amepata kura milioni 3 (aslimia 56.8) kutangazwa rasmi rais-mteule, kwa kumshinda Rais aliye madarakani Lazarus Chakwera, aliyepata kura milioni 1.77 (asilimia 33) katika uchaguzi wa Septemba 16, 2025 .

bd94aacdf88f26085ee71bfb7aaef16cb920aa3a37769aff6f314182d492e94b

24 Septemba, 2025

‘Siyo fadhila kwa Afrika’: Hotuba kali ya Rais Ruto wa Kenya UNGA

Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Umoja wa Mataifa jijini New York, akisema mabadiliko yanahitajika UN, IMF, Benki ya Dunia na taasisi zingine, kwa kuzingatia maslahi ya Afrika kwenye mabadiliko hayo.

6b652216b88da39917350567118e5a590eec4915021b762290782a50f249a4b2

24 Septemba, 2025

Uganda : ‘Bobi Wine’ ateuliwa kama mgombea wa urais 2026

Aliwania wadhifa wa juu nchini mwaka 2021 lakini akashindwa na Rais aliye madarakani Yoweri Museveni.

ac78a2fbf543457bc0af3fb717c6ad0db03ca181ead1b2041316a78e9057d6a9

24 Septemba, 2025

Lazarus Chakwera wa Malawi akubali kushindwa katika uchaguzi mkuu

Akiwa amezaliwa Aprili 5, 1955, Rais Chakwera alitumia muda mrefu wa maisha yake kama mwanateolojia na kwa nyakati tofauti amehudumu kama ‘baba mchungaji’ kabla ya kuingia kwenye ulingo siasa za Malawi mwaka 2013.

84b5b977f6834d983c7c92ac1c348afd42d68e222b5e12228d0e10d367761fa4

24 Septemba, 2025

‘Mauaji ya halaiki’ yanafanyika kimya kimya mashariki mwa DRC, rais anasema

Rais Felix Tshisekedi ametoa wito wa kuwepo kwa tume huru ya uchunguzi ya kimataifa kusaidia “kuvunja mzunguko wa kutochukua hatua ambao umesababisha majanga kwa miongo kadhaa”.

08939c39badd70b3353479e40633c4605259561b3be3161d9bc51305f1e7435d

24 Septemba, 2025

Maambukizi ya kipindupindu nchini Sudan yazidi 113,500

Mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan umeambukiza zaidi ya watu 113,600 na kuua zaidi ya 3,000 nchini kote tangu Julai 2024, WHO ilisema Jumanne.

aacbd367dfa90fcb929d1b307aec07fa805699b31b3c46e922239fc2cdb625c9 main

24 Septemba, 2025

Kenya yaomba msaada zaidi kwa ujumbe wa amani Haiti

Rais wa Kenya William Ruto amesema kikosi ambacho kimekuwa kwenye majukumu hayo kwa miezi 15 – kinachojulikana kama ujumbe wa Multinational Security Support – kimekuwa kikifanya kazi kwa asilimia 40 pekee ya uwezo wa walinda usalama 2,500.

6ed525cfe687de04fe6d6ca6be57875e5a4886a40b955d770dc8b54b8e6a4678

24 Septemba, 2025

Karibu nyati 100 waliokuwa wanakimbia simba wafariki kutokana na mkanyagano

Wanyama hao walianguka kutoka kwenye mwamba hadi ndani ya mto na wengine wakakanyagana, kulingana na wizara ya utalii.

f4ccbd500d5b615fa433a7cae218943134e8dcc51aa1a4558e0c9e1ab4da199f

24 Septemba, 2025

Maelfu waandamana Malawi baada ya upinzani kuongoza katika uchaguzi wa Urais

Barabara kadhaa katika mji mkuu wa Lilongwe, zimefungwa na wafuasi wanaompinga mkuu wa Tume ya Uchauguzi ya Malawi.

1758622495483 ctbkp7g 93664905b5f62c32b9297c7f602715accb12b3f4447199a6aabbebd4c8864ec7
Inapakia...