17 Septemba, 2025

Senegal imekamata mashua ya mbao iliyobeba wahamiaji 112 wakijaribu kuvuka Atlantiki

Mamlaka ya Senegal imewakamata wahamiaji 112 waliokuwa kwenye mashua ndefu ya uvuvi ya mbao nje ya pwani ya Dakar walipokuwa wakijaribu kufika Ulaya kupitia njia ya Bahari ya Atlantiki, maafisa walisema Jumanne.

2025 09 11t065524z 103119548 rc25ev96zyvz rtrmadp 3 southchinasea philippines china main

17 Septemba, 2025

Mahakama ya Kenya yatoa hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza kufuatia mauaji ya Agnes Wanjiru

Kulingana na Alexander Muteti, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Nairobi, kulikuwa na sababu za kutoa hati ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo ambaye ni mkazi wa Uingereza.

32dbd50b13c3171f995f485a546387824652367e85d51866e802b184e1ab9757

17 Septemba, 2025

Tanzania: Yanga yatwaa taji la Ngao ya Jamii ikiifunga Simba 1-0

Bao pekee la ‘Wananchi’ lilipatikana katika dakika 53 ya mchezo, kupitia kwa mchezaji wao nyota, Pacome Zouzoua, na hivyo kuifanya Simba kupoteza mchezo wao wa sita mfululizo katika michezo tofauti, mbele ya mahasimu wao wa jadi.

e1f29c1f821bdede175a14c02fbc202318b2f50712292bb7d7b25911f6ed6d95

16 Septemba, 2025

Bunge la Uganda laanza maandalizi ya michuano ya AFCON 2027

AFCON itaandaliwa na Uganda, Kenya, na Tanzania mwezi Juni na Julai 2027.

c1faeaa9522847558fab9ae806798a178e532fb79ebe321da32c5a886a02deb0

16 Septemba, 2025

Chama cha PFF cha Uganda chajiondoa katika kinyang’anyiro cha kugombea Urais 2026

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda wa chama cha PFF, Kizza Besigye, tangu awekwe kizuizini hivi sasa zimetimia siku 300. Besigye anashikiliwa kwa madai ya kumiliki silaha kinyume cha sheria pamoja na uhaini.

4f0abb2fe0c2e11b312ecb03f5454e7724541a4074d16231a02947c74c21b3b7

16 Septemba, 2025

Raia wa Malawi wapiga kura katika uchaguzi mkuu

Foleni ndefu ziliundwa katika vituo kadhaa vya kupigia kura katika saa nyingi za mashambani kabla ya kufunguliwa saa 6 asubuhi kwa saa za ndani.

1758003818318 c4r6xf b896cedc934698e80a5133b9d03a6de7e5e61bbf2596cfc8814494d1769df8c0

16 Septemba, 2025

Ahmed Arajiga kusimama katikati ya dimba kwenye ‘Derby ya Kariakoo’

Mchezo wa ngao ya jamii huashiria kufunguliwa kwa msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026, ambao uko chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF).

6548735eef1102042ec091a108766c46932bd01c7f881aa5eb3a3edf43dcbf5d

16 Septemba, 2025

Mnigeria Hilda Baci aweka rekodi Guinness kwa kupika kilogramu 8,780 za wali

Upishi wa mlo huo ulifanyika ndani ya chombo chenye ujazo wa lita 22,000, ukitumia nishati ya gesi ya zaidi ya kilo 1,200 ndani ya saa tisa.

5fe240564ee4c9763cf0f0facce7d0d039cf0e8c7906bd5dfec959e401994e8c

15 Septemba, 2025

Bunge la Uganda lahoji Mamlaka ya Mapato kuhusu gharama ya ukarabati wa magari

Uongozi wa Mamlaka ya Mapato ya Uganda, URA ililieleza bunge kuwa magari yametumika kwa wastani wa miaka 8-12 na kufanyiwa matengenezo makubwa na kati ya magari 6l yaliyochaguliwa, magari 12 yamefanyiwa ukarabati wa injini.

082641f537b83fee9fb46b0af3048f6f0f929a9069c7d72f6f5d110c34c345a2

15 Septemba, 2025

Jopo la mawakili wa makamu wa Rais wa Sudan Kusini wasema wako tayari kwenda mahakamani

Makamu huyo wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar ameshtakiwa kwa mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu.

2025 09 12t073835z 231213733 rc26qga3i1ov rtrmadp 3 southsudan security
Inapakia...