Wakimbizi wa DR Congo: Burundi Yaomba Dola Milioni 33 za Msaada

Burundi na mashirika ya kimataifa yametoa wito wa kukusanya zaidi ya dola milioni 33 kusaidia maelfu ya wakimbizi wa DR Congo wanaoendelea kuingia nchini humo.
18 Desemba, 2025
Uchaguzi Mkuu Uganda 2026: Bobi Wine Akosoa Vizuizi vya Kampeni

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, ameilaumu serikali kwa kuweka vizuizi kwenye kampeni za urais kuelekea uchaguzi mkuu wa 2026.
18 Desemba, 2025
Tuwalinde Watoto Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia Mitandaoni

Takwimu zinaonesha kuongezeka kwa ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto mitandaoni, hali inayohitaji hatua za haraka kutoka kwa wazazi, serikali na kampuni za teknolojia.
18 Desemba, 2025
RSF Yatuhumiwa Kuharibu Ushahidi wa Ukatili nchini Sudan

Ripoti mpya inadai wapiganaji wa RSF wameharibu ushahidi wa mauaji ya kikatili katika mji wa Al Fasher, nchini Sudan.
17 Desemba, 2025

Somalia na Uturuki Zasaini Makubaliano ya Kuimarisha Sekta ya Uvuvi

Tanzania Miongoni mwa Nchi Zilizowekewa Vizuizi Vipya vya Kusafiri Marekani

Tanzania yatuma mwaliko kwa wabunge wa Marekani kutembelea nchi hiyo

Tanzania: Maafisa watatu wa uhamiaji wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la mauaji

DRC yamkamata waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa serikali ya Kabila
16 Desemba, 2025
Mke wa rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa akamatwa Ureno kwa tuhuma za utakatishaji fedha
“Mashtaka yake yanahusishwa na uchunguzi unaoendelea wa utakatishaji fedha,” polisi wa mahakama ya Ureno walisema.

16 Desemba, 2025
Umoja wa Mataifa: Droni zaua raia zaidi ya 100 Sudan tangu Disemba 4
“Nimeshtushwa na kuongezeka kwa mashambulizi,” amesema Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN, Volker Türk.

16 Desemba, 2025
Wamisri 14 wafariki baada ya boti la wahamiaji kuzama Crete
“Tunatoa wito kwa raia wa Misri kutohadaiwa na mitandao ya uhamiaji haramu,” ilisema Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri.

16 Desemba, 2025
Benin yawakamata karibu watu 30 kwa tuhuma za jaribio la mapinduzi
Benin imewakamata watu takriban 30, wengi wao wanajeshi, kwa madai ya kuhusika na jaribio la mapinduzi.

16 Desemba, 2025
Burhan yuko tayari kwa mazungumzo ya amani na Trump
Alithibitisha utayari wa Sudan kufanya kazi na Rais Trump kumaliza vita.

16 Desemba, 2025
Waasi wa M23 wajiondoa Uvira baada ya ombi la Marekani
Hatua hii inalenga kujenga imani na kutoa nafasi kubwa kwa mafanikio ya mchakato wa amani.

16 Desemba, 2025
Idadi ya vifo vya mafuriko Morocco yafikia 37 mjini Safi
Watu 14 wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini, wakiwemo wawili walioko katika hali mahututi.

15 Desemba, 2025
M23 yadai kuwakamata wanajeshi wa Burundi katika mashambulizi ya Uvira
Wanajeshi waliokamatwa watasindikizwa kurejea nyumbani.

15 Desemba, 2025
Bunge la Zambia laidhinisha muswada tata wa kubadilisha sheria za uchaguzi
“Haya ni maagano na watu wa Zambia kuendeleza usawa,” alisema Waziri wa Haki, Princess Kasune.

15 Desemba, 2025
Mwanamazingira Kijana Truphena Muthoni Apatiwa Tuzo ya Rais Ruto, Kenya Ipeperushwe Kimataifa
Truphena Muthoni, mwenye umri wa miaka 22, ametuzwa medali ya Head of State Commendation kwa juhudi zake za kuhifadhi miti na mazingira.



