Afrika Kusini ‘yatamaushwa na njaa ya kimakusudi’ ya Wapalestina huko Gaza: Ramaphosa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akisema kwamba wao “wanaogopa sana njaa iliyokusudiwa” ya “dola ya ubaguzi wa rangi ya Israeli.”
28 Julai, 2025
Eswatini inakabili na shinikizo la umma baada ya kukubali wafungwa waliofukuzwa Marekani

Shinikizo la umma limekuwa likizidi dhidi ya serikali ya Eswatini baada ya taifa hilo la Afrika Kusini kukubali wafungwa waliotupwa nje na Marekani hivi karibuni.
28 Julai, 2025
Shambulio la kundi la waasi la ADF dhidi ya kanisa katoliki la DRC limeua takriban watu 21

Angalau watu 21 wameuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya majengo ya kanisa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kundi la waasi la Allied Democratic Force (ADF).
27 Julai, 2025
Mpinzani mkuu wa rais wa Cameroon Maurice Kamto amezuiwa kushiriki katika uchaguzi

Maurice Kamto hakuwa miongoni mwa wagombea 13 kwenye orodha ya awali iliyotolewa Jumamosi na baraza la taifa la uchaguzi.
27 Julai, 2025

Muungano unaoongozwa na RSF watangaza serikali sambamba nchini Sudan

TRA yalenga kutoza kodi biashara za mitandaoni na vyumba vya Air BnB

Mkuu wa Tume ya AU apongeza utambuzi wa Ufaransa wa taif ala Palestina

Tanzania kupiga kura Oktoba 29 – yatangaza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

Mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa itaamua Jumatano juu ya majukumu ya hali ya hewa ya nchi
22 Julai, 2025
Sudan imeripoti maambukizi 1,300 ya kipindupindu na vifo 18 katika wiki moja
Wizara ya afya ya Sudan imeripoti maambukizi mapya ya kipindupindu, huku idadi hiyo ikifika 1,307 na vifo 18 vilivyosababishwa na ugonjwa huo ndani ya wiki moja.

22 Julai, 2025
Ajali ya barabarani Zimbabwe yaua takriban watu 17
Takriban watu 17 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya barabarani katika mji wa Chitungwiza nchini Zimbabwe, polisi walisema Jumanne.

22 Julai, 2025
Kenya: Polisi waanza uchunguzi baada ya mafuvu mawili, mwili kufukuliwa huko Kilifi
Sehemu ya Chakama, inahusisha pia msitu wa Shakahola, ambako miili ya zaidi ya watu 450 ilifukuliwa kutoka makaburi mafupi mwaka 2023, katika tukio maarufu lililogusa hisia za wengi nchini Kenya.

22 Julai, 2025
Nini chanzo cha mvutano kati ya Ethiopia na Eritrea?
Ethiopia ilikuwa ikitumika kama kitovu muhimu cha siasa za kijiografia na kiuchumi kwa shughuli za kibiashara, biashara, na mwingiliano na mataifa kadhaa ya Asia na Ulaya.

22 Julai, 2025
Mkenya Stephen Munyakho aachiliwa huru kutoka jela Saudi Arabia
Stephen Abdulkareem Munyakho, raia wa Kenya ambaye alikuwa anakabiliwa na adhabu ya kifo Saudia Arabia, ameachiliwa huru na anatarajiwa kusafiri hadi nchini kwake, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje Korir Sing’oei alitangaza Jumanne.

22 Julai, 2025
Benki ya Dunia: Simu za mkononi zinavyoleta mageuzi katika sekta ya fedha
Utafiti wa Benki ya Dunia unaonyesha kuwa akaunti za pesa za rununu zinachangia ongezeko la umiliki wa akaunti.

22 Julai, 2025
Kutoka chumba cha habari hadi bungeni
Hii ni simulizi ya Isaac Imaka, ambaye aliamua kuachana na uandishi wa habari, na kuamua kuingia kwenye siasa akiwa na ndoto za kuwa mbunge.

22 Julai, 2025
Rais wa Afrika Kusini amfuta kazi waziri wa elimu ya juu
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemwondoa waziri wake wa elimu ya juu aliyekuwa katika matatizo kwa madai ya rushwa.

21 Julai, 2025
Zambia inatarajia uchimbaji madini kuongeza ukuaji wa uchumi
Zambia inataraji ukuaji wa uchumi kuongezeka hadi 6.4% mwaka ujao.

21 Julai, 2025
Burundi yafuatilia uamuzi wa Marekani kuwanyima viza
Kutoka 9 juni 2025, Marekani ilisitisha kwa muda utoaji wa viza kwa raia wa Burundi, Cuba, Laos, Sierra Leone, Togo, Turkmenistan, na Venezuela.


