Tamasha la Asia – Afrika laangazia suala la Palestina

Tamasha hilo lilianza katika jiji la Bandung, Java Magharibi, kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 71 ya Mkutano wa Asia na Afrika.
12 Julai, 2026
Rais Samia Suluhu wa Tanzania aomboleza kifo cha aliyekuwa Emir wa Qatar

Katika ujumbe uliowekwa kwenye mitandao ya kijamii, Samia alitoa salamu za rambirambi kwa familia ya Al Thani na wananchi wa Qatar, akisema Tanzania inaungana na taifa hilo la Ghuba katika kipindi hiki cha maombolezo.
12 Julai, 2026
Vita vya Sudan: UNICEF yaonya raia 500,000 wako hatarini huko El-Obeid

UNICEF inasema kuwa “mapigano makali zaidi” mjini El-Obeid yanazilazimisha familia kuhama makazi yao.
12 Julai, 2026
Raia wa Marekani nchini Congo amekutwa na virusi vya Ebola, CDC ya Marekani inasema

Marekani ilipendekeza kituo cha Ebola nchini Kenya ili kuwahudumia raia wake walio hatarini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda.
12 Julai, 2026

Ramaphosa yuko Ufaransa kwa mazungumzo na kuenzi askari wa Afrika Kusini walioshiriki Vita vya Dunia

Kampeni za uchaguzi nchini Zambia zinashika kasi huku rais akihimiza amani

Algeria na Mali zarejelea uhusiano wa kibalozi baada ya mvutano wa mwaka mzima

Makumi ya wanafunzi na walimu waliotekwa nyara waachiliwa huru nchini Nigeria

Mo Dewji tayari kuwekeza Dola 100M katika kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote nchini Kenya
11 Julai, 2026
Sudan yaweka sharti la kuondolewa na kupokonywa silaha kwa RSF ili kukubali mpango wa amani
Serikali inapendekeza kusitisha mapigano kwa siku 90 lakini inaweka masharti ya RSF kujiondoa katika miji yote iliyo chini ya udhibiti wake na mipango ya usalama inayofuatiliwa na Umoja wa Mataifa.

10 Julai, 2026
Waandamanaji nchini Afrika Kusini wanavamia nyumba hadi nyumba kuwasaka wahamiaji
Kutokana na maandamano hayo, polisi wameongeza operesheni za kuwakamata wahamiaji wasiokuwa na nyaraka halali, huku pia wakipeleka maafisa katika maeneo ya maandamano kwa ajili ya kuimarisha usalama.

10 Julai, 2026
Morocco yaahidi kujiimarisha zaidi baada ya kutolewa Kombe la Dunia
Koacha Ouahbi anasisitiza kuwa kwa sasa wanaangazia AFCON, kabla ya kuanza kujiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia 2030 ambapo Morocco ni mmoja wa wenyeji pamoja na Hispania na Ureno.

10 Julai, 2026
Benki ya Dunia: Wakenya milioni 2.4 wako hatarini kutumbukia kwenye umaskini
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo, Mchumi Kiongozi wa Benki ya Dunia, Tom Bundervoet, ameeleza kuwa kupanda kwa bei ya mafuta kumeongeza pia gharama za usafirishaji wa bidhaa na utoaji wa huduma.

10 Julai, 2026
Aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei azikwa, huku waombolezaji waapa kulipiza kisasi
Mamilioni ya watu wamekusanyika katika mji wa Mashhad kwa swala ya maiti iliongozwa na mtoto mkubwa wa Khamenei, Hojjatoleslam Seyyed Mostafa Hosseini Khamenei, kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA.

9 Julai, 2026
Urusi kuisaidia Msumbiji kupambana na ugaidi
Uamuzi huo, unafuatia ombi lilitoka kwa Rais Daniel Francisco Chapo, mara baada ya kukutana na Waziri wa Mambo wa Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.

9 Julai, 2026
Tanzania: Watu 130 wakamatwa kwa kuhamasisha vitendo vya kihalifu
Jeshi la Polisi nchini humo, limedai kubaini madai ya mipango mbalimbali ikiwemo kuchoma shule, kuharibu miundombinu ya umeme, kupora mali pamoja na kupanga kushambulia baadhi ya viongozi, wananchi na askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.

9 Julai, 2026
Marekani yashambulia daraja muhimu la reli linalounganisha Iran, China na Urusi
Shirika la Habari la Fars la Iran limesema shambulio hilo la kombora la masafa marefu limelenga daraja la reli la Ogtay Khan lililoko katika mkoa wa Golestan, kaskazini mashariki mwa Iran, mapema Alhamisi.

9 Julai, 2026
Vifo vya Ebola vyafikia 600 nchini DRC huku maambukizi yakiripotiwa katika jimbo jipya
Idadi ya maambukizi iliyothibitishwa imefikia zaidi ya 1,700 huku maambukizi yakiendelea kusambaa katika jamii, kwa mujibu wa mamlaka za afya.

9 Julai, 2026
CCM na ACT-Wazalendo wamaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar
Hatua hii ya uwasilishwaji wa Tamko la Pamoja la Muafaka wa Kisiasa inaashiria kumalizika kwa mkwamo wa kisiasa.



