Wakulima wa kahawa Rwanda kulipa nusu ya bei ya mbolea

Serikali inasema hii inaweza kusaidia kurejesha mapato ya mauzo ya kahawa ambayo yalishuka hadi dola milioni $78.7 (takriban Rwf110 bilioni) mwaka 2023/2024, kutoka zaidi ya dola milioni 115.9 mwaka wa fedha uliopita, kulingana na Wizara ya Kilimo.
14 Julai, 2025
Rais wa Cameroon Paul Biya, 92, anasema atawania kuchaguliwa tena muhula wa nane

Rais wa Cameroon Paul Biya amesema atawania muhula wa nane madarakani katika uchaguzi wa Oktoba katika jitihada za kuongeza takriban miaka 43 madarakani.
14 Julai, 2025
Muhammadu Buhari: Rais wa zamani wa Nigeria afariki dunia akiwa na umri wa miaka 82

Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari amefariki dunia katika hospitali moja mjini London, Uingereza akiwa na umri wa miaka 82, msaidizi wake wa zamani wa vyombo vya habari vya kidijitali Bashir Ahmad alisema Jumapili.
14 Julai, 2025
Balozi wa Tanzania nchini Cuba ajiuzulu akilalamikia kufifia maadili katika serikali ya awamu ya 5

Balozi Humphrey Hesron Polepole pia alilalamikia kutovuka kwa maadili na sera za chama tawala CCM akiashiria hususan mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama uliomalizika hivi karibuni.
13 Julai, 2025

Umoja wa Mataifa umesitisha msaada wa chakula Afrika Magharibi na Kati kutokana na uhaba wa ufadhili

Boeing yamfidia mwanamume ambaye familia yake ilikufa katika ajali ya Ethiopian Airlines

Ugiriki yapitisha marufuku ya kuwapa hifadhi wakimbizi kutoka Afrika kupitia ufuo wa Libya

Zambia inawataka raia walio ng’ambo bila viza halali kurejea nyumbani

Biya atangaza uchaguzi wa urais Cameroon kufanyika Oktoba
11 Julai, 2025
Uganda yafungua tena mpaka wake na mashariki mwa DRC kunakodhibitiwa na waasi
Mpaka huo ulifungwa mwishoni mwa mwezi Januari baada ya waasi wa M23 kuchukuwa udhibiti wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa DRC wa Kivu ya Kaskazini.

11 Julai, 2025
Nigeria yakataa ‘shinikizo’ la Marekani kukubali wahamiaji wa Venezuela
Trump amekuwa akitaka wahamiaji waondolewe kwa haraka, ikiwemo kuwapeleka katika mataifa ya tatu.

11 Julai, 2025
Kenya: Mwenyekiti na Makamishna wa tume ya IEBC waapishwa rasmi
Tume hiyo inajiandaa na kuiongoza nchi hiyo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2027.

11 Julai, 2025
Nigeria inakataa ‘shinikizo’ la Marekani la kuwakubali wakimbizi wa Venezuela
Trump amekuwa akishinikiza kuharakisha uhamisho, ikiwa ni pamoja na kutuma wahamiaji katika nchi nyengine nje ya Marekani.

11 Julai, 2025
DRC yaendelea kuongoza kwa ubora wa soka Afrika Mashariki
Kulingana na takwimu zilizotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) hivi karibuni, taifa hilo linashika nafasi ya 61 ulimwenguni, ikiwa ni ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki.

11 Julai, 2025
Mwanaharakati na mjumbe wa amani Malala Yousafzai aitembelea Tanzania
Mshindi huyo wa tuzo ya amani ya Nobel, yupo Tanzania akihimiza elimu kwa watoto wa kike.

11 Julai, 2025
Benki ya Tanzania yaangazia mapato zaidi kutoka mauzo ya nje
Ukuaji wa mapato ya mauzo ya nje ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mauzo ya nje ya dhahabu ya juu, korosho, kahawa, tumbaku, mkonge, na mazao ya bustani.

11 Julai, 2025
DRC inaendelea kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu
Mamlaka ya afya inasema majimbo 17 kati ya 26 ya nchi hiyo yaliathiriwa, na idadi ya vifo imepanda kwa asilimia 2.

11 Julai, 2025
PSG ya Luis Enrique yaidhalilisha Real Madrid kwa kuichabanga mabao 4-0
Real Madrid, ambao ni mabingwa wa kihistoria wa Ulaya, walikubali kichapo cha magoli 4-0, mbele ya Paris Saint-Germain katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kwa ngazi ya klabu.

11 Julai, 2025
Mazungumzo ya DRC-M23 ‘yanaendelea vizuri’: Mwanadiplomasia
Mazungumzo kati ya DRC na kundi la waasi la M23 nchini Qatar “yanaendelea vizuri”, mwanadiplomasia ameiambia AFP.


