DRC na waasi wa M23 waanza tena mazungumzo ya amani mjini Doha

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameanza tena mazungumzo ya amani nchini Qatar, vyanzo vya habari vililiambia shirika la Reuters Jumanne.
6 Mei, 2025
Wanajeshi watatu wa Rwanda wauawa nchini Msumbiji

Mashambulizi nchini Msumbiji yamesababisha kuuawa kwa wanajeshi watatu wa Rwanda na kuwajeruhi wengine sita, msemaji wa jeshi la Rwanda alisema siku ya Jumanne.
6 Mei, 2025
Sudan yasitisha uhusiano wa kidiplomasia na UAE

Sudan imeitaja UAE kama ‘taifa la uchokozi,’ huku taifa hilo la Ghuba likikanusha madai ya kuwaunga mkono wapiganaji wa RSF
6 Mei, 2025
Tanzania yatishia kufuta leseni za uchimbaji madini kwa waliokiuka masharti

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini yatoa hati za makosa kwa makampuni 95 ya uchimbaji madini yaliyokiuka masharti ya Leseni.
6 Mei, 2025

Wakuu wa Majeshi ya Afrika waanza ziara rasmi ya siku 10 China

Mahakama ya UN yakataa kujihusisha na jaji wa Uganda aliyefungwa Uingereza

Mfululizo wa mashambulizi ya RSF Port Sudan

Rais wa Kenya apokea majina ya maafisa walioteuliwa katika Tume Huru ya Uchaguzi

Wizara ya Sheria Uganda yalaani kuteswa kwa Mwanaharakati aliyefikishwa mahakamani
6 Mei, 2025
Mawaziri watakaoshindwa kuweka wazi mali wanazomiliki kufikia Jumatano watafutwa: Mahama
Rais wa Ghana amewaonya zaidi ya mawaziri wake 40 na wateule wengine kwa kushindwa kuweka wazi mali wanazomiliki, huku muda wa mwisho wa kufanya hivyo ukitarajiwa kuwa Jumatano, 7 Mei.

6 Mei, 2025
Mahakama ya kimataifa ya ICJ yakataa kesi ya Sudan dhidi ya UAE kuhusu mauaji ya halaiki
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetupilia mbali kesi ya Sudan dhidi ya UAE ya madai ya kuhusika katika mauaji ya halaiki kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan.

6 Mei, 2025
Rwanda inasema inafanya mazungumzo na Marekani ili ipokee wahamiaji
Kigali ilitia saini makubaliano na Uingereza mwaka 2022 kuchukua maelfu ya waomba hifadhi kutoka Uingereza kabla ya mkataba huo kufutiliwa mbali mwaka jana na Waziri Mkuu mteule wa wakati huo Keir Starmer.

5 Mei, 2025
Walanguzi kadhaa wa dawa za kulevya wakamatwa Malawi
‘Tunashkuru serikali ya Marekani kwa operesheni hii ya usalama iliyofanikiwa,’ alisema waziri wa mambo ya ndani

5 Mei, 2025
Umoja wa Afrika walaani mashambulizi ya Port Sudan
Kikosi cha Rapid Support Forces, RSF kinachovutana na jeshi la Sudan, kilifanya shambulio la ndege isiyo na rubani Jumapili, kwenye kambi ya jeshi la anga na vituo vyengine karibu na Uwanja wa Ndege wa Port Sudan.

5 Mei, 2025
Uganda yamkamata anayeshukiwa kuwateka nyara watalii baada ya miaka sita
Jeshi la Uganda linasema limemkamata mshukiwa huyo katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrais ya Congo, DRC miaka sita baada ya kuteka nyara watalii.

5 Mei, 2025
Benki Kuu Tanzania yakazia matumizi ya fedha za nchi kwa biashara za ndani
Benki kuu ya Tanzania mapema mwezi huu, imetoa taarifa inayosisitiza matumizi ya fedha za ndani katika manunuzi na biashara zote za ndani huku ikisema kuwa matumizi ya fedha za kigeni ndani ya nchi ni kinyume cha sheria.

5 Mei, 2025
M23 yadhibiti mji wa kimkakati wa wavuvi mashariki mwa DRC licha ya makubaliano ya amani
Waasi wa M23 na washirika wake wachukua udhibiti wa mji wa Lunyasenge magharibi mwa pwani ya Ziwa Edward kaskazini mwa DRC.

5 Mei, 2025
Watatu mbaroni baada ya Rais Ruto kurushiwa kiatu
Rais William Ruto alirushiwa kiatu alipokuwa anawahutubia wakazi wa eneo la Kehancha, kaunti ya Migor siku ya Jumapili.

4 Mei, 2025
Jeshi la Sudan lasema RSF imelenga miundombinu karibu na uwanja wa ndege Port Sudan
Msemaji wa jeshi la Sudan amesema vikosi vya RSF vimelenga kambi ya jeshi la anga na miundombinu mengine karibu na eneo la uwanja wa ndege uliopo Port Sudan


