Kiongozi wa upinzani Patrick Herminie ashinda marudio ya ucaguzi wa urais Ushelisheli

Herminie anawakilisha chama cha United Seychelles, ambacho kiliongoza nchi hiyo kwa miongo minne kabla ya kupoteza mamlaka mwaka wa 2020. Kilikuwa chama tawala kutoka 1977 hadi 2020.
12 Oktoba, 2025
Kitengo asi cha jeshi la Madagaska chadai udhibiti, kinasema kitafanya ‘amri zote’ kwa wanajeshi

Kikosi cha wanajeshi waasi kimetangaza kuwa kinadhibiti vikosi vyote vya kijeshi vya Madagascar, huku Rais Andry Rajoelina akisema “jaribio la kunyakua mamlaka kinyume cha sheria” linaendelea nchini humo.
12 Oktoba, 2025
Rais mkongwe zaidi duniani anataka kuongeza muda wa utawala huku Cameroon ikifanya uchaguzi

Wapinzani wa Biya ni pamoja na msemaji wa zamani wa serikali Issa Tchiroma, 76, ambaye amevuta umati mkubwa wa watu akitaka kusitishwa kwa uongozi wa muda mrefu wa kiongozi huyo mkongwe.
12 Oktoba, 2025
Rais wa Madagascar anaonya kuhusu ‘jaribio la mapinduzi’ baada ya wanajeshi kujiunga na maandamano

Rais Andry Rajoelina anashutumu vikosi hasimu kwa kujaribu kunyakua mamlaka “kinyume cha sheria na kwa nguvu” baada ya wanajeshi kujiunga na maandamano ya kuipinga serikali katika mji mkuu wa Madagascar.
12 Oktoba, 2025

Upinzani wa Côte d’Ivoire waandamana mjini Abidjan

Takriban watu 60 waliuawa katika shambulizi dhidi ya Al-Fashir ya Sudan, wanaharakati wanasema

Botswana inatekeleza sheria mpya ya 24% ya umiliki wa ndani kwa migodi yote

Mfalme wa Morocco atoa wito wa kufanyika mageuzi huku vuguvugu la vijana likisitisha maandamano

Wanajeshi wauawa Nigeria wakikabiliana na mashambulizi ya kigaidi jimbo la Borno
10 Oktoba, 2025
Burkina Faso yakataa pendekezo la kupokea waliotimuliwa kutoka Marekani
Burkina Faso imesema imekataa pendekezo kutoka kwa serikali ya Rais Trump la kuwapokea watu waliotimuliwa kutoka Marekani.

10 Oktoba, 2025
Waandamanaji nchini Madagascar wamtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu
Polisi wanatumia mabomu ya machozi, na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji.

9 Oktoba, 2025
Tshisekedi wa DRC amtaka Kagame wa Rwanda ‘kukumbatia amani’ katika mkutano jijini Brussels
Rais Felix Tshisekedi ametoa wito kwa mwenzake wa Rwanda Paul Kagame “kukumbatia amani” na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

9 Oktoba, 2025
Tanzania katika mazungumzo na Marekani kuhusu sharti la dhamana ya viza
Tanzania imekuwa ni nchi ya hivi karibuni kuingizwa katika orodha ya nchi ambazo raia wake wamewekewa masharti ya dhamana ya viza.

9 Oktoba, 2025
Mashambulizi ya RSF katika hospitali yaua watu 20 huko Al-Fasher, Sudan
Mashambulizi ya wapiganaji wa Sudan RSF katika hospitali ya mji wa Al-Fasher yamewaua watu 20 ndani ya saa 24, vyanzo vya maafisa wa afya vimesema siku ya Jumatano.

8 Oktoba, 2025
Upinzani CAR unasema hautoshiriki kwenye uchaguzi wa urais wa Disemba 2025
Upinzani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati unasema utasusia uchaguzi wa Disemba ambapo Rais Faustin-Archange Touadera anawania muhula wa tatu.

8 Oktoba, 2025
Somalia yaimarisha jeshi lake kwa ushirikiano na Rwanda
Mataifa yote mawili yamekubaliana kuhusu usalama katika kanda na fursa za kuimarisha uhusiano wa kijeshi.

8 Oktoba, 2025
Waandamanaji Madagascar wakataa mazungumzo na Rais
Rajoelina alilifuta baraza lake la mawaziri wiki iliyopita kwa nia ya kuzima machafuko hayo, akimteua waziri mkuu mpya na kutangaza mipango ya mazungumzo ya kitaifa yanayotarajiwa kuanza Jumatano alasiri.

8 Oktoba, 2025
Shirika la Msalaba Mwekundu lasema takriban 90% ya vituo vya afya DRC havina dawa
Uhaba wa wafanyakazi uliathiri 40% ya vituo vilivyofanyiwa utafiti, 13% havikuwa na kazi kabisa na nyingi ziliripoti uhaba wa usambazaji wa mara kwa mara kuanzia Januari, wakati M23 ilipoteka Goma, jiji kubwa zaidi katika kanda.

8 Oktoba, 2025
Bunge la EALA lapongeza nchi wanachama wa EAC kwa kuandaa CHAN 2024
Pongezi hizo zinakuja baada ya Tanzania, Kenya na Uganda, kuandaa michuano ya CHAN kwa pamoja.



