Iran yaionya Marekani baada ya mashambulizi mapya, yasema ni Iran pekee itakayoamua hatima ya Hormuz

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf, amesema Iran haitasalimu amri mbele ya shinikizo la Marekani kufuatia mashambulizi mapya ya Marekani yaliyolenga maeneo ya kusini mwa Iran.
9 Julai, 2026
Tanzania yanunua zaidi ya tani 28 za dhahabu ili kuongeza akiba ya fedha za kigeni

Ununuzi huu ni sehemu ya mkakati mpana wa serikali wa kutofautisha mali za akiba kutoka kwa fedha za kigeni huku ukitoa usaidizi wa ziada kwa akiba ya kimataifa ya nchi.
8 Julai, 2026
Vita vya Sudan: Watu 10 wameuawa katika shambulio la droni kwenye sherehe ya harusi

Mtandao wa Madaktari wa Sudan unasema wanawake watano wa familia moja ni miongoni mwa wahanga, na kuishutumu RSF kwa kulenga kimakusudi gari la raia.
8 Julai, 2026
Wafanyakazi wa afya nchini DR Congo wagoma huku vifo vya Ebola vikikaribia 600

Wafanyakazi wa afya wanaandamana kupinga kucheleweshwa kwa mishahara na marupurupu yao tangu mlipuko huo ulipotangazwa tarehe 15 Mei.
8 Julai, 2026

Rais Mnangagwa apitisha sheria ya kumuongezea muda wa kukaa madarakani

Ufaransa yawaondoa wanadiplomasia kutoka Burkina Faso.

Saba Saba: Polisi wapiga marufuku maandamano katika kumbukumbu ya maandamano ya Kenya.

Wakulima wa Uganda wafungua kesi dhidi ya mradi wa bomba la mafuta unaoungwa mkono na Uingereza

AU yazindua Mtandao wa kwanza wa kidiplomasia barani
6 Julai, 2026
Zimbabwe yaingia gizani baada ya hitilafu kwenye Gridi ya taifa
Hata hivyo, kampuni mama ya umeme nchini humo (ZESA), ilisema kuwa changamoto hiyo ilitokana na hitilafu, ikiongeza kuwa mafundi walikuwa kazini kuhakikisha hali ya kawaida inarejea.

6 Julai, 2026
Idadi ya vifo vya Ebola nchini DRC vyavuka 500
Idadi ya vifo vilivyotokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini DRC, sasa vimefikia zaidi ya 500.

6 Julai, 2026
Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa vitisho kwa Iran huku raia wakimuomboleza Khamenei
Viongozi kadhaa kutoka nchi mbalimbali wamewasili Iran kutoa salamu za rambirambi kufuatia mauaji ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei.

6 Julai, 2026
Baraza la Haki za Binadamu la UN laagiza uchunguzi wa haraka kuhusu ukatili unaofanywa EL Obeid
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk wiki iliyopita alielezea hali ndani na karibu na El Obeid kama “janga la haki za binadamu”, akitoa mfano wa mashambulizi yasiyoisha ya ndege zisizo na rubani na mauaji ya kushtukiza.

6 Julai, 2026
Vifo vya Ebola katika DRC vyazidi 500 huku maambukizi yakifikia 1,561
Mapema mwezi huu, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza kuanza kwa tiba ya majaribio ya kingamwili ya MBP134, huku zaidi ya wagonjwa 1,000 wakitarajiwa kushiriki.

6 Julai, 2026
Uganda inadai raia wake watatu wameuawa Afrika Kusini katika maandamano dhidi ya wahamiaji
Maandamano dhidi ya wahamiaji nchini Afrika Kusini yamesababisha moja ya shughuli kubwa za kuwaondoa raia wa bara la Afrika kutoka nchini humo.

5 Julai, 2026
Mlipuko wa kipindupindu waua watu 30 katika jimbo la Kordofan Magharibi nchini Sudan
Shirika la misaada la Sudan limeripoti vifo 30 kutokana na mlipuko wa kipindupindu katika jimbo la Kordofan Magharibi, tangu tarehe 20 Juni.

5 Julai, 2026
Misri yatupilia mbali uwezekano wa ‘uhusiano wa kawaida’ na Israel iwapo hakutakuwa na amani ya haki
Rais wa Misri ataka kukomeshwa kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestina.

5 Julai, 2026
Wanafunzi DRC wafa maji katika mkasa wa boti baada ya kufanya mtihani
Kulikuwa na manusura 80 na miili 20, kulingana na afisa mmoja, huku shahidi mmoja akisema kuwa boti hiyo ilikuwa imebeba zaidi ya watu 200.

4 Julai, 2026
Mabasi zaidi ya Wasudan waliofurushwa yaondoka Misri kuelekea nyumbani
Kamati ya kurejesha watu kwa hiari inaandaa mabasi 24 yanayowasafirisha raia wa Sudan kurejea nyumbani, kulingana na vyombo vya habari vya serikali ya Sudan.



