30 Septemba, 2025

Mkuu wa Exxon alitaka hakikisho la usalama kwa mradi wa gesi kutoka kwa rais wa Msumbiji

Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Exxon, Darren Woods alitaka kuhakikishiwa usalama na rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwa mradi wa gesi wa dola bilioni 30 kabla ya kuruhusu mpango huo kuendelea.

2c2b1ce3e1c43e66e007001af8d4200bfe6452f781b341a041884961f72758c9

30 Septemba, 2025

Serikali ya Trump yaunga mkono mpango wa kuongeza muda wa mwaka 1 kwa biashara ya Afrika

Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump unaunga mkono kuongezwa kwa mwaka mmoja kwa mpango wa kibiashara kati ya Afrika na Marekani, ambao muda wake unamalizika leo, 30, Septemba, kulingana na afisa wa Ikulu ya White House.

00b806c55c5ffb736b6ec82951cbc1200cdea0a20b46b15fb7cdb8b78b3ca56f

30 Septemba, 2025

Misri na Somalia wajadili ushirikiano wa kijeshi, kuunga mkono utulivu wa Afrika

Waziri wa Ulinzi wa Misri Abdul Majeed Saqr na mwenzake wa Somalia, Ahmed Moalim Fiqi, walijadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kuunga mkono utulivu kote barani Afrika wakati wa mkutano mjini Cairo siku ya Jumatatu.

e3662dc71c41deeeb1dbd2f6f1ce3213dc90c1970a9d405b686b4fe3375b628b main

30 Septemba, 2025

Rais wa Madagascar aifuta serikali kufuatia maandamano

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameifuta kazi serikali yake kufuatia maandamano makali dhidi ya kukatika kwa maji na umeme katika eneo la Bahari ya Hindi.

1b00c211 1d09 4a39 8ffd c680e4c42b62 main

29 Septemba, 2025

Tanzania, Zambia na China zatenga Dola Bilioni 1.4 kufufua reli ya TAZARA

Siku ya Jumatatu, nchi hizo tatu zilisaini mkataba wa Dola Bilioni 1.4, wenye lengo la kufufua reli hiyo ya miaka 50.

376586a916f2341262990d0b5b28cee05fa8a54ab7aeec911b387dd3cf5abc47 main 1

29 Septemba, 2025

Ushelisheli kumchagua rais katika duru ya pili ya uchaguzi

Hakuna mgombea aliyepata asilimia 50 ya kura kuwezesha kupatikana kwa mshindi katika duru ya kwanza .

97226e824309a39396d97cf4d361611ef47061a7ef0b5cbce719789baaf5dc95

29 Septemba, 2025

Tume ya Uchaguzi Kenya yaanza tena usajili wa wapiga kura kwa maandalizi ya 2027

Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) nchini Kenya imezindua tena usajili wa wapiga kura wa kuendelea, siku ya Jumatatu Septemba 29, ikiwa sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.

8a511baaf606e9fe1d23d533c5f4ed4efe6bf14df54a1ae82bb571e7e9e66379

29 Septemba, 2025

Mauritania imeripoti kifo cha kwanza kutokana na Homa ya Rift Valley tangu 2022

Mamlaka ya Mauritania Jumapili iliripoti kifo cha kwanza kutokana na Homa ya Bonde la Ufa tangu 2022.

2025 07 09t173312z 338348889 rc2yifar5zzd rtrmadp 3 zimbabwe health main

29 Septemba, 2025

Meli ya misaada ya Global Sumud inayoelekea Gaza inakaribia pwani ya kaskazini mwa Misri

Kamati ya Kimataifa ya Kuvunja Mzingiro wa Gaza inasema wanatarajia Israel itafanya uhalifu wa kivita dhidi yao wakati wowote.

a780a187abd8f673e00e15e593557aeec3bb549e34faaf9352803ad95ae08201

28 Septemba, 2025

Gabon yafanya uchaguzi wa bunge kurudi katika utawala wa kiraia

Vituo vya kupigia kura vilipaswa kusalia wazi hadi saa 12:00 jioni kwa saa za ndani (1700 GMT) ili kuruhusu wapiga kura 900,000 kuchagua wabunge 145.

gabon election 83418
Inapakia...