Idadi ya vifo yafikia 30 katia shambulio la msikiti Nigeria

Serikali imesema kuwa mashirika ya usalama yamepelekwa katika eneo hilo ili kurudisha utulivu.
20 Agosti, 2025
Uturuki yaongeza juhudi za kupatikana kwa ‘Libya yenye umoja’

Uturuki inaunga mkono juhudi za majadiliano nchini Libya zenye lengo la kuimarisha umoja wa taifa hilo na uhuru wake.
20 Agosti, 2025
Tanzania: Chama cha CCM kufanya mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge, viti maalumu

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu ambao utahusisha mchakato wa kumchagua rais, wabunge, madiwani na wajumbe wa baraza la wawakilishi, Oktoba 29, 2025.
20 Agosti, 2025
Kanya yazindua mradi wa dola milioni 165.5 kurejesha Msitu wa Mau

Msitu wa Mau ndio chanzo kikubwa zaidi cha maji nchini Kenya na mfumo muhimu wa ikolojia katika Afrika Mashariki.
20 Agosti, 2025

Sudan imeripoti maambukizi 1,575 mapya ya kipindupindu na vifo 22 katika wiki moja

Jamhuri ya Afrika ya Kati kufanya uchaguzi mkuu Disemba 28

Umoja wa Mataifa washtumu mashambulizi ya ADF yaliyowaua raia 52 Mashariki mwa DRC

Watu wasiopungua 25 waokolewa baada ya boti kuzama Nigeria, watu kadhaa bado hawajapatikana

Somalia inakabiliwa na ongezeko la dondakoo kutokana na uhaba wa chanjo na kupungua misaada
19 Agosti, 2025
Zaidi ya magaidi 100 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya kijeshi ya Somalia
Kitengo cha kijeshi chenye uwezo wa juu, kikiungwa mkono na washirika wa kimataifa, kimefanya operesheni ambayo pia iliharibu maficho ya magaidi.

19 Agosti, 2025
Burhan wa Sudan afanya mabadiliko katika jeshi
Mkuu wa jeshi la Sudan aliteua maafisa wakuu wapya siku ya Jumatatu katika huku akiimarisha udhibiti wa maeneo ya kati na mashariki na kupigana vita vikali magharibi.

19 Agosti, 2025
Waasi waliokuwa na mapanga wameua takriban watu 52 mashariki mwa DRC
Waasi wa ADF waliokuwa na mapanga wamewaua takriban raia 52 katika maeneo ya Beni na Lubero mashariki mwa DRC katika siku za hivi karibuni, maafisa wa Umoja wa Mataifa na mashinani walisema Jumatatu.

18 Agosti, 2025
DRC, waasi wa M23 washindwa kufikia makubaliano ya amani ya Doha
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wameshindwa kufikia muafaka wa makubaliano ya amani ya Doha katika siku ya mwisho iliyowekwa wao kufanya hivyo.

18 Agosti, 2025
Hamas yakubali mapendekezo ya wapatanishi kusitisha mapigano siku 60 Gaza: Vyombo vya Misri
Kundi la wapiganaji la Palestina Hamas limekubali mapendekezo ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 yaliyowasilishwa na wapatanishi wa Misri na Qatar, Vyombo vya habari vya Misri viliripoti Jumatatu.

18 Agosti, 2025
Marekani yaweka sheria kali za viza kwa raia wa Nigeria, yachunguza mitandao ya kijamii ya waombaji
Hii ni sheria ya hivi karibuni ya Marekani huku uongozi wa Trump ukiendeleza ukali dhidi ya wahamiaji, hasa wakilenga nchi za Afrika.

18 Agosti, 2025
Israel yapeleka msaada Sudan Kusini huku ikiendeleza njaa Gaza
Hatua hii inakuja huku kukiwa na taarifa za Sudan Kusini kuwa katika mpango wa kuwapa makazi Wapalestina.

18 Agosti, 2025
Tanzania: CHADEMA yaishitaki klabu ya Young Africans FIFA kufuatia harambee ya CCM
Katika harambee iliyofanyika Agosti 12 jijini Dar es Salaam, klabu ya Young Africans ilitoa kiasi cha milioni 100 kuisadia CCM katika kampeni zake, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

18 Agosti, 2025
Zaidi ya 40 hawajulikani walipo baada ya boti kupinduka nchini Nigeria
Juhudi za utafutaji na uokoaji zinaendelea baada ya boti iliyokuwa imebeba zaidi ya abiria 50 kuzama ilipokuwa ikielekea sokoni.

18 Agosti, 2025
Takriban watu tisa wameuawa katika shambulizi la ADF mashariki mwa DRC
Shambulizi la Allied Democratic Forces (ADF) limeua takriban watu tisa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, duru za ndani zilisema Jumapili.



