Burundi yaweka msingi wa reli ya kwanza kuungana na Tanzania

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameweka jiwe la msingi la reli ya kihistoria itakayounganisha nchi hiyo na Tanzania – mtandao wa kwanza wa reli nchini humo.
17 Agosti, 2025
RSF imewaua watu wengi katika shambulio dhidi ya kambi ya Darfur iliyoathiriwa na njaa

RSF ilimshambulia Abu Shouk wiki iliyopita na kuua zaidi ya watu 40, wakati wanamgambo wakijaribu kuteka Al Fasher, ngome ya mwisho ya jeshi huko Darfur.
17 Agosti, 2025
Kisukuku cha asili cha Ethiopia Lucy kinaelekea Ulaya huku kukiwa na wasiwasi wa usalama wake

Kuna wasiwasi wa usalama kuhusu usafirishaji wa mifupa yake dhaifu kwa maonyesho katika Jumba la Makumbusho la Kitaifa la Czech huko Prague.
16 Agosti, 2025
Afrika Kusini yaanza mjadala wa taifa kutafuta suluhu ya matatizo

Miongoni mwa matatizo ambayo Rais Cyril Ramaphosa ameyataja ni ukosefu wa ajira ambao umepita zaidi ya asilimia 33 na ukosefu wa usawa, ikiwa ni moja ya takwimu mbaya duniani.
15 Agosti, 2025

Umoja wa Afrika wataka ulimwengu kutumia ramani ya dunia inayoonyesha ukubwa halisi wa Afrika

Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo

Mahakama Kenya yapigia msumari sheria ya kustaafu miaka 60

Zaidi ya mataifa 30 yahimiza kusitishwa kuzingirwa kwa mji wa El Fasher nchini Sudan

Watu wasiopungua 25 wamefukiwa kwenye mgodi mmoja kaskazini mwa Tanzania
14 Agosti, 2025
Kuridhia kwa serikali ya Eswatini kupokea waliotimuliwa Marekani kwapinga mahakamani
Wanaharakati wa Eswatini wameiomba mahakama kuu kuamua kuwa kinyume cha katiba hatua ya nchi hiyo kukubali kuwapokea raia watano wa kigeni ambao walifukuzwa Marekani.

14 Agosti, 2025
Watu kadhaa wafariki Sudan kutokana na kipindupindu ‘kibaya’ kuwahi kutokea ndani ya miaka mingi
Shirika la MSF linasema raia kuondolewa katika makazi yao kwa wingi kutokana na mapigano Sudan kumefanya mlipuko kuwa mbaya zaidi kwa watu kushindwa kupata maji safi.

14 Agosti, 2025
Air Tanzania mbioni kuanza safari za Dar es Salaam-Lagos
Hii ni baada ya shirika hilo kupata kibali cha safari hizo kutoka serikali ya Nigeria.

14 Agosti, 2025
Upinzani Uganda wanajaribu kufuta sheria ya wananchi kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi
Chama kikuu cha upinzani nchini Uganda kimewasilisha kesi katika mahakama ya katiba ili kufuta sheria mpya iliyorudisha haki ya mahakama za kijeshi kusikiliza kesi za raia.

13 Agosti, 2025
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa ashtumu mashambulizi ya RSF El Fasher, katika kambi ya wakimbizi Sudan
Turk aonya kuhusu ‘hatari mbaya ya mateso yanayochochewa kwa misingi ya kikabila’ huko Darfur Kaskazini

13 Agosti, 2025
Afrika Kusini yaeleza ripoti ya Marekani kuhusu haki kuwa ‘siyo sahihi
Afrika Kusini imeielezea ripoti hiyo “kuwa na mapungufu” ambayo Marekani inasema hali ya haki za binadamu Afrika Kusini “imekuwa mbaya” , siku chache baada ya serikali ya Trump kuiwekea ushuru wa asilimia 30 kwa bidhaa zao nyingi wanazouza nje.

13 Agosti, 2025
Zimamoto yapambana kuzima moto katika msitu kaskazni mwa Morocco
Morocco imekuwa na matukio ya moto wa msituni 382 mwaka 2024, na kusababisha uharibifu wa hekta karibu 874

13 Agosti, 2025
Sudan Kusini yakanusha mazungumzo na Israel kuhusu kuwapa makazi Wapalestina
Madai hayo ‘hayana msingi na hayaashirii msimamo au sera rasmi’ ya serikali, Wizara ya Mambo ya Nje imesema

13 Agosti, 2025
Kenya yafanya mazungumzo na Iran ya kuondoa marufuku ya kununua chai yake
Iran ilipiga marufuku ununuzi wa chai kutoka Kenya ikichochewa na madai ya biashara mbovu ya uhalifu iliyohusisha kampuni moja ya Kenya.

13 Agosti, 2025
Marekani yaiwekea vikwazo kundi la wapiganaji, makampuni ya uchimbaji madini haramu nchini DRC
Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya kundi lenye silaha linaloshirikiana na jeshi la Congo pamoja na kampuni ya uchimbaji madini nchini humo na wafanyabiashara wawili kutoka Hong Kong kwa kutumia silaha na uuzaji wa madini haramu.



