Afrika Kusini itatafuta masoko mapya ya madini kushindana na Marekani

Afrika Kusini itahitaji kutafuta masoko mbadala kwa bidhaa zake muhimu za madini ikiwa Marekani itaweka kodi kali, waziri wa madini wa nchi hiyo amesema.
30 Julai, 2025
Rwanda yawekeza dola milioni 25 katika uwanja mpya wa mpira wa vikapu

Kituo cha Michezo cha Zaria Courts mjini Kigali kitajumuisha maeneo ya viwanja vya mpira wa vikapu, vifaa vya mafunzo ya michezo, maeneo ya kuuza bidhaa na maeneo ya kuonyesha mitindo ya maisha.
29 Julai, 2025
Majaliwa atoa wito wa kutatua changamoto za uwekezaji Afrika na Karibi

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa wito wa kutatuliwa kwa changamoto za uwekezaji kati ya bara la Afrika na visiwa vya Karibi.
29 Julai, 2025
Mkenya Stephen Munyakho, aliyeachiliwa kutoka gereza la Saudia arudi Kenya

Stephen Abdulkareem Munyakho, alinusurika kunyongwa baada ya kukaa jela miaka 14 Saudi Arabia kwa kosa la mauaji.
29 Julai, 2025

Ripoti ya UN inaonyesha ongezeko la kutisha la uhaba wa chakula barani Afrika licha ya maendeleo

Mkutano wa UN wa kutathmini mifumo ya chakula wafanyika Ethiopia

Afrika Kusini ‘yatamaushwa na njaa ya kimakusudi’ ya Wapalestina huko Gaza: Ramaphosa

Eswatini inakabili na shinikizo la umma baada ya kukubali wafungwa waliofukuzwa Marekani

Shambulio la kundi la waasi la ADF dhidi ya kanisa katoliki la DRC limeua takriban watu 21
27 Julai, 2025
Mpinzani mkuu wa rais wa Cameroon Maurice Kamto amezuiwa kushiriki katika uchaguzi
Maurice Kamto hakuwa miongoni mwa wagombea 13 kwenye orodha ya awali iliyotolewa Jumamosi na baraza la taifa la uchaguzi.

27 Julai, 2025
Muungano unaoongozwa na RSF watangaza serikali sambamba nchini Sudan
Kikosi cha kijeshi cha RSF na washirika wake wameapa kujenga “Sudan Mpya”.

26 Julai, 2025
TRA yalenga kutoza kodi biashara za mitandaoni na vyumba vya Air BnB
Mamlaka ya ukusanyaji Kodi Tanzania TRA imetoa makataa ya hadi mwisho wa Agosti kwa biashara zote za kidijitiali na za Air Bnb kusajiliwa kupewa nambari ya utambulisho TIN au wakabiliwe na sheria.

26 Julai, 2025
Mkuu wa Tume ya AU apongeza utambuzi wa Ufaransa wa taif ala Palestina
Mahmoud Youssouf alisema uamuzi huo unaendana na “msimamo wa kudumu wa Umoja wa Afrika” kuhusu haki za watu wa Palestina.

26 Julai, 2025
Tanzania kupiga kura Oktoba 29 – yatangaza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Tume hiyo imetangaza ratiba kamili ya uteuzi, kampeni na upigaji kura kwa ngazi zote husika Tanzania Bara na Zanzibar

23 Julai, 2025
Mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa itaamua Jumatano juu ya majukumu ya hali ya hewa ya nchi
Kati ya 2013 – 2023, viwango vya bahari vimeongezeka kwa wastani wa kimataifa wa karibu sentimeta 4.3, huku dunia ikipanda nyuzi joto 1.3 tangu nyakati za kabla ya viwanda

22 Julai, 2025
Sudan imeripoti maambukizi 1,300 ya kipindupindu na vifo 18 katika wiki moja
Wizara ya afya ya Sudan imeripoti maambukizi mapya ya kipindupindu, huku idadi hiyo ikifika 1,307 na vifo 18 vilivyosababishwa na ugonjwa huo ndani ya wiki moja.

22 Julai, 2025
Ajali ya barabarani Zimbabwe yaua takriban watu 17
Takriban watu 17 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya barabarani katika mji wa Chitungwiza nchini Zimbabwe, polisi walisema Jumanne.

22 Julai, 2025
Kenya: Polisi waanza uchunguzi baada ya mafuvu mawili, mwili kufukuliwa huko Kilifi
Sehemu ya Chakama, inahusisha pia msitu wa Shakahola, ambako miili ya zaidi ya watu 450 ilifukuliwa kutoka makaburi mafupi mwaka 2023, katika tukio maarufu lililogusa hisia za wengi nchini Kenya.

22 Julai, 2025
Nini chanzo cha mvutano kati ya Ethiopia na Eritrea?
Ethiopia ilikuwa ikitumika kama kitovu muhimu cha siasa za kijiografia na kiuchumi kwa shughuli za kibiashara, biashara, na mwingiliano na mataifa kadhaa ya Asia na Ulaya.



