Benki ya Dunia: Simu za mkononi zinavyoleta mageuzi katika sekta ya fedha

Utafiti wa Benki ya Dunia unaonyesha kuwa akaunti za pesa za rununu zinachangia ongezeko la umiliki wa akaunti.
22 Julai, 2025
Kutoka chumba cha habari hadi bungeni

Hii ni simulizi ya Isaac Imaka, ambaye aliamua kuachana na uandishi wa habari, na kuamua kuingia kwenye siasa akiwa na ndoto za kuwa mbunge.
22 Julai, 2025
Rais wa Afrika Kusini amfuta kazi waziri wa elimu ya juu

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemwondoa waziri wake wa elimu ya juu aliyekuwa katika matatizo kwa madai ya rushwa.
22 Julai, 2025
Zambia inatarajia uchimbaji madini kuongeza ukuaji wa uchumi

Zambia inataraji ukuaji wa uchumi kuongezeka hadi 6.4% mwaka ujao.
21 Julai, 2025

Burundi yafuatilia uamuzi wa Marekani kuwanyima viza

Je, kikundi cha M23 kitaondoka mashariki mwa DRC baada ya makubaliano ya hivi majuzi?

Rais wa Zanzibar apongeza mchango wa kambi za matibabu

Mafuta miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuagizwa kutoka nje Rwanda

Rais Ruto wa Kenya aahidi kutimiza ahadi alizozitoa
21 Julai, 2025
Shirika la Msalaba Mwekundu lasema liko tayari kuwasaidia waliokuwa wamezuiliwa na M23
Hii inafuatia makubaliano ya amani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kikundi chenye silaha cha M23 Movement (AFC/M23).

21 Julai, 2025
Rais wa Eritrea aonya Ethiopia dhidi ya vita
Rais wa Eritrea, Isaias Afwerki, amewaonya jirani zao Ethiopia dhidi ya kuanzisha vita vipya kati ya nchi hizo mbili.

20 Julai, 2025
Uturuki inakaribisha makubaliano ya amani ya DRC na waasi wa M23
Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki ilipongeza wasimamizi wa makubaliano hayo yaliyotiwa saini nchini Qatar siku ya Jumamosi.

20 Julai, 2025
Rwanda yapongeza makubaliano ya DRC ya kusitisha mapigano na waasi wa M23 kama ‘hatua muhimu’
”Sote inabidi tuunge mkono mwendelezo wa maendeleo hadi tamati,” inasema taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda

19 Julai, 2025
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wafikia makubaliano ya muda ya kumaliza mzozo
Makubaliano ya kusitisha mapigano na waasi katika jitihada za kumaliza machafuko ya muda mrefu mashariki mwa nchi hiyo na yanafuatia mkataba tofauti wa amani kati ya Congo na Rwanda uliotiwa saini mjini Washington mwezi uliopita.

19 Julai, 2025
CCM yaahirisha vikao vya kitaifa bila kutangaza tarehe mpya
Katika barua iliyosambazwa mitandaoni, katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Chama alielezea kwa ufupi tu kuwa ni kutokana na sababu za kiufundi.

18 Julai, 2025
Dola milioni 60 kwa mradi wa mafuta na gesi Mtwara, Tanzania
Tanzania inatarajia kutumia dola milioni 60 kufanikisha uchimbaji mafuta na gesi katika kitalu cha Mnazibay mkoani Mtwara kusini mwa nchi. Gharama hiyo itahusisha uchimbaji wa visima vitatu pekee ikiwa ni hatua ya kuthibitisha kiwango cha gesi

18 Julai, 2025
AU yaridhishwa na hatua ya kusitishwa mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
Umoja wa Afrika umetoa wito kwa makundi yenye silaha katika nchi hiyo “kuweka silaha zao chini na kushiriki kwa nia njema katika majadiliano ya kitaifa na maridhiano”.

18 Julai, 2025
Uganda kuweka huduma dhidi ya Ukimwi kwa huduma ya afya ya jumla
Takwimu za Uganda Aida Commission zinaonyesha kuwa asilimia 70 ya maambukizi mapya ya ukimwi ni miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 ni hasa kwa miongoni mwa wasichana na wanawake vijana

18 Julai, 2025
Raia wa Libya akamatwa na Mahakama ya Kitaifa ya ICC
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifikisha malalamiko yake dhidi ya Khaled Mohamed Ali El Hishri, raia wa Libya katika mahakama ya ICC kutokana na uhalifu wa kibinadamu nchini Libya.



