21 Julai, 2026

Mfalme Charles III wa Uingereza atembelea Msikiti wa Cambridge uliojengwa kwa msaada wa Uturuki

Mfalme Charles amekutana na wadhamini wa msikiti, maimamu na wanajamii wakati wa ziara hiyo, akitilia mkazo mchango wa Waislamu wa Cambridge na jamii ya Waturuki.

f0768fad 3678 4fce ad1e 4124c0f94e7b 1784637286698

20 Julai, 2026

Gwiji wa saratanji Judit Polgar ‘aukataa’ Urais wa Hungaria

Polgar, ambaye alitimiza miaka 50, Alhamisi iliyopita, alikuwa ni bingwa wa mchezo wa saratanji kwa miaka 25, kabla ya kustaafu mwaka 2014.

49985bcd e83d 4e5a 947e f2b337bddaf7 1784573399127

20 Julai, 2026

Nigeria yawaua magaidi wa Daesh, yaokoa mateka saba katika operesheni za kijeshi

Vikosi vya usalama pia vilizuia jaribio la magaidi wanaoshukiwa kuwa wa Daesh la kutega vilipuzi katika barabara.

d9b1cf08 f0b1 4271 a097 d7d3f1937eac 1784551256211

17 Julai, 2026

Iran yarusha makombora kwenye “kambi za kijeshi za Marekani” katika nchi sita za Kiarabu

Iran imesema imeshambulia vituo vya kijeshi vya Marekani, ndege na mifumo ya rada katika nchi sita za Kiarabu ambazo ni Kuwait, Oman, Syria, Jordan, Bahrain na Qatar.

42642ec7 6f24 412a 9794 8209b45870ae 1784308054597

17 Julai, 2026

‘King of the North’ Burnham achukua uongozi wa chama cha Labour, aahidi kuiunganisha Uingereza

Andy Burnham ameahidi kuongeza ujenzi wa nyumba za umma ili kusaidia kutatua tatizo la ukosefu wa makazi na kuongeza rasilimali katika huduma za ustawi wa jamii.

43738ab1 c3e6 4082 b8a9 06368d11b700 1784300851285

16 Julai, 2026

Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran: CENTCOM

Msemaji wa Ikulu ya White House, alisema sababu ya mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani ni kwamba Iran ilikiuka makubaliano ya maelewano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya pande hizo.

f6c6e137 42b9 414f ab0a 336ec2ea5ac0 1784233085364

16 Julai, 2026

Urusi yaishukuru Uturuki kwa utayari wake wa kusaidia mchakato wa amani Ukraine

Msemaji wa Kremlin amesema migogoro mingi ni “tata sana”, na kujaribu kuisuluhisha kupitia “makubaliano” kunaweza kuwa jambo “lisilowezekana.”

bb54196c 8f3a 4388 9342 46e8631e1296 1784221070144

16 Julai, 2026

Mchakato wa kuirudisha Uturuki kwenye mradi F-35 ni wakiridhisha, asema Seneta Turner

Kulingana na Turner, wawakilisha waliohudhuria mazungumzo hayo, wameonesha matumaini ya hatua zinazoendelea, japo hakuwa tayari kuweka wazi kilichojadiliwa kati ya maofisa wa Uturuki na wabunge wa Marekani.

f57063cc f60a 4ce7 8d3a 312e73a7a5e4 1784209839070

16 Julai, 2026

Netanyahu ahairisha ziara yake ya Marekani

Ziara ya Netanyahu nchini Marekani, ilihusisha kukutana na Rais Donald Trump na pia kuhudhuria mazishi ya Seneta Lindsey Graham.

5e81e652 79d8 444f 83c2 5ce2405e4347 1784198603221

16 Julai, 2026

China yapinga vitisho vya kijeshi vya Marekani dhidi ya Cuba

Kulingana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Lin Jian, Marekani ilikuwa ikiratibu operesheni mbalimbali za kijeshi, ikiwemo kutumia makombora ya masafa marefu dhidi ya Cuba.

0b61b52e 076f 41d3 9072 f5684d055c78 1784190587692
Inapakia...