19 Julai, 2025

Uturuki anakanusha madai kuwa ilizuia kuunga mkono taarifa ya Kundi la Hague la Gaza

Ankara inakanusha shutuma za ucheleweshaji wa taarifa ya Gaza kuwa ni za kisiasa, ikitoa mfano wa muda wa taratibu na kuthibitisha uungaji mkono wake unaoendelea kwa haki za Wapalestina.

e77a51fd8260e9b19bcdae173accf98840be087a9d805fad7167d86b22c8c24c

19 Julai, 2025

Uturuki inaiambia Marekani juu ya haja ya kumaliza mzozo wa Syria, hatari ya mashambulio ya Israel

Katika mazungumzo ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio, mwanadiplomasia mkuu wa Uturuki Hakan Fidan alionya hatua za Israel nchini Syria zinaweza kuathiri amani na umoja wa kikanda.

019e547d778bddd3ee0a612bc29cc313ec29bbcb49fc495f0ad0788a91f1f692

18 Julai, 2025

Mapigano katika eneo la Sweida nchini Syria yanatishia usalama kanda nzima, Erdogan amwambia Putin

Katika mazungumzo kwa njia ya simu na kiongozi huyo wa Urusi, Rais wa Uturuki Erdogan anasema lengo la Uturuki ni kuhakikisha usalama, na nchi ya Syria kurudi kama zamani.

7d09f2f80c4fa6d9c90769a5110dc4ce835e3e97fe289f62813b22b5be3c031a

18 Julai, 2025

Uturuki na Libya zatiliana saini mkataba wa madini, nishati na miundombinu

Uturuki ni nchi imara katika nyanja za kiuchumi na nishati, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Emaar Libya, anasema.

e1e8328596d25a3ccf7ca5421b882add9261a1b00cd8d4b14b409cd57952ae2a

17 Julai, 2025

Erdogan aonya hatua za Israel zinaweza kuhatarisha kanda nzima, na ‘kuwasha moto duniani’

Rais Erdogan amelaani uchokozi wa Israel kwa Syria, na kuonya dhidi ya kanda kuungana na Israel, na kusisitiza kuwa Uturuki itaunga mkono umoja wa Syria.

8bab9f6c15eff9e6e0a64477d7545c1ff40ada59d822c117ced79f66884e2d84

17 Julai, 2025

Mfumo wa ulinzi wa anga wa Uturuki ‘Steel Dome’ umejengwa na vifaa vilivyotengenezwa ndani ya nchi

Matumizi ya akili bandia katika kufanya maamuzi pamoja na majukwaa ya teknolojia yaliyotengenezwa ndani ya nchi yanawezesha ushirikiano wa kipekee na wa hali ya juu kati ya mifumo mbalimbali, amesmea Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Uturuki.

f434d84f6a1845a02270d419212736d7eb17cd8e9ddfe4616e4f694513a52205

16 Julai, 2025

Uturuki, UAE yasaini makubaliano saba jijini Ankara kuimarisha ushirikiano

Erdogan na Mohammed bin Zayed wameshuhudia utiwaji saini wa makubaliano ya ushirikiano jijini Ankara, ikiwemo makubaliano kuhusu biashara, ulinzi, utalii, na utafiti.

82288ee7c3a6e35fc432e3b4813498383c3447908340818e5d55b8dbe593f89b

15 Julai, 2025

Uturuki kuwa mwenyeji wa maonesho makubwa ya kimataifa kuhusu ulinzi Istanbul wiki ijayo

Maonesho hayo ya siku sita yanatarajiwa kuleta pamoja sekta ya ulinzi duniani katika maeneo mbalimbali kote jijini.

60471fd002ca3432fd6b39e3d33f8b84cdd3c573ba7554be3762ccf20adb5f8b

15 Julai, 2025

Uturuki yaadhimisha mwaka wa 9 wa jaribio la mapinduzi lililoshindwa 2016

Waziri wa Mambo ya Nje Hakan Fidan anasema Uturuki itaendelea kuwafuatilia wanachama wa FETO duniani kote na kuwafikisha mbele ya sheria.

8bf3863b54a8f135c6d3ded511ff1439b20d2bdcde847aac1d6b3ca151487a60

15 Julai, 2025

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kuhudhuria mkutano usio rasmi wa Cyprus mjini New York

Hakan Fidan atafanya ziara ya siku mbili kusaidia kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, akishirikishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa miongoni mwa wengine.

810240143e4fbd11a718be8ea969c67605e32cdf81dc585297b159bd0a6cc7c1
Inapakia...