2 Juni, 2025

Hatua ya pili ya mazungumzo ya Urusi na Ukraine yakamilika jijini Istanbul

Ukraine inasema imetaka kurudishwa kwa watoto kutoka Urusi

e3da168adfa268c3970c6cbf2ad09fbdd196157c23295d8b8858d8b053f1231e

2 Juni, 2025

Klabu ya Alves Kablo ya nchini Uturuki yashinda Ligi ya Mabingwa kwa upande wa walemavu

Timu ya walemavu ya Alves Kablo imetwaa ubingwa huo baada ya kuibugiza Wisla Krakow ya Poland kwa jumla ya mabao 6-1, katika mchezo wa fainali uliofanyika jijini Ankara.

4434faaf3106034cbe10bc5c7713c1558fa1c8e179ef3523a82430fa9a891e9c

31 Mei, 2025

Familia Imara, Jamii Imara: Rais Erdogan anasisitiza umuhimu wa kukuza maadili ya familia

Rais wa Uturuki Erdogan anapongeza bodi ya wakurugenzi na wafanyakazi wa Istanbul Family Foundation, pamoja na wale waliosaidia kuandaa Kongamano la 3 la Kimataifa la Familia, na pia aliwasalimu washiriki na wageni wote.

2a8afcd8c942ed3f6fae8611790c14cff712bc9647ae4c7a1a5f32c3323d0145

30 Mei, 2025

Uturuki inatarajia kuwa mwenyeji wa Trump, Putin na Zelenskyy lengo kumaliza vita Urusi na Ukraine

‘Tumeonesha kuwa mazungumzo ya Urusi na Ukraine jijini Istanbul yanaweza kuleta matokeo yenye tija,’ Hakan Fidan amesema wakati wa ziara yake nchini Ukraine

715603e99fb352722cfce99643789f2dfc48c8ddee00434a2c3e740643c75da1

29 Mei, 2025

Erdogan aisindikiza meli ya kuzalisha gesi ya Uturuki Bahari Nyeusi

Kadiri Uturuki inavyoendelea kuwekeza kwenye uzalishaji wa gesi ya ndani, ndivyo Osman Gazi inavyozidi kuongeza nafasi ya nchi kujitegemea katika usalama wa nishati na ulinzi.

924ff8ec7b1f97f6bc104981a0fd28af59c2c3b215bbbbce8856680813fb422a

29 Mei, 2025

Sarajevo kuhodhi vikao vya umma ya Mahakama Maalum ya Gaza inayochunguza uhalifu wa vita vya Israeli

Majadiliano yatashughulika na mada mbalimbali, ikiwemo uhalifu wa ukoloni wa wakaaji, mifumo ya uhalifu, ubaguzi wa rangi, uhamisho wa lazima wa watu, ulinzi wa wananchi, mapungufu ya mfumo wa Umoja wa Mataifa, na kufanya maandamano kuwa uhalifu.

aa 20250525 38074414 38074376 israeli attacks continue on gaza

28 Mei, 2025

Uturuki yafanya maandalizi mazuri kwa mahujaji 84,000, yasifu ushirikiano na Saudia

Rais wa Masuala ya Dini wa Uturuki (Diyanet) amesema nchi imefanya operesheni kubwa mpaka sasa kusaidia mahujaji.

img 3308

27 Mei, 2025

Uturuki, Urusi wasisitiza dhamira yao ya umoja wa Syria na mazungumzo ya amani ya Ukraine

Lavrov amepongeza hatua ya Uturuki katika kuwezesha mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine, na kupendekeza jiji la Istanbul kama eneo la hatua ya pili ya majadiliano

lavrov 20hakan

27 Mei, 2025

Baghladesh yatafuta msaada Uturuki kurudisha misitu, na kuhifadhi mazingira

Dhaka inatafuta msaada wa kitaalamu wa Uturuki katika kudumisha utalii na uhifadhi wa mazingira baada ya kupoteza wanyama pori. Ankara imeonyesha utayari wa kusaidia katika mradi wa pamoja kupitia Shirika lake la Maendeleo TIKA.

thumbs b c 4de5784bb99ce756f9ccb64ea92c3069

27 Mei, 2025

Istanbul yaipita Frankfurt kama uwanja wa ndege unaotumika sana Ulaya kwa mizigo

Kundi la usafiri wa Ujerumani linasema kuwa Frankfurt imeachwa nyuma kwa sababu ya kuongezeka kwa gharama za ardhi, na urasimu.

aa 37647847
Inapakia...